maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hii kura ya maoni iliyofanyika Ukraine ni sawa na kutafuta maoni ya mbuzi abakie kwenye mwitu au amilikiwe na watu: Jibu linajulikana!

    Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na uhakika kabisa kuwa zoezi la kura litaendeshwa kwa uhuru na uwazi. Wapo watu wengi toka nchi za...
  2. Titicomb

    Kura ya maoni kujiunga Urusi, tangazo la kuongeza askari wa akiba: Maneno ya Putin yanatimia kuhusu malengo ya uvamizi wa Ukraine?

    Habari wana JF, Siku nyingi zimepita sijaandika mjadala(thread) humu jukwaani. Leo nimesukumwa kuandika mtazamo wangu juu ya kinachoendelea nchini Ukraine wakati huu wa vita dhidi ya uvamizi wa Urusi(Russia). Raisi Vladimir Putin mara kwa mara amekuwa akirudia kusema malengo yote ya nchi yake...
  3. John Haramba

    Maoni, mitazamo kuhusu sheria ya utoaji mimba kwa wanaopata ujauzito bila ridhaa yao

    Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu. Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
  4. Miss Zomboko

    Mbunge: Watu wanaotoa Maoni yao wasipigwe wala kuumizwa na kuitwa Magaidi

    Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda ametaka watuhumiwa wasiitwe magaidi kabla ya uchunguzi kufanyika.
  5. M

    Uchambuzi: Upande mwingine wa online dating platform

    Brethren, NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari. Ni hivi; Utafiti ulioufanywa kwa miaka miwili mfululizo imegundulika huko mtandaoni ni mizaha mingi bila nia...
  6. D

    SoC02 Ni muhimu sana kupenda(like), kutoa maoni(comment), kufuata(follow/subscribe) na kusambaza(share) chapisho linalokugusa kwenye mitandao ya kijamii

    Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili. Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
  7. N

    Je, maoni ya wananchi yana nguvu?

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu masuala ya siasa na kusema uwepo wake utasaidia kupunguza joto la kisiasa lililopo nchini. Haya ni baadhi tu ya maoni ambayo wananchi walituma...
  8. Mystery

    Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  9. richie ze best

    Biashara ya Stationery

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada chap chap... Mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi,kazi yangu inakula mda wangu wote,sipati nafasi ya kusimamia ama kuendesha biashara zingine. Ila nina hobby ya kupiga picha ni kitu napenda toka utotoni,nikaona ili kuhiendeleza nikasoma mitandaoni na hasa...
  10. Teko Modise

    Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

    Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
  11. lee Vladimir cleef

    Maoni mbalimbali kutoka kwa Mabeberu kuhusiana na SMO ya Urusi

    The Decline And Fall Of The Western Empire Almost everyone sees it, and almost no one wants to discuss it: America and Western Europe are spiraling out of control. And the speed of the descent is crescendoing rapidly. By Jonas E. Alexis, Assistant Editor - August 30, 2022 Almost everyone sees...
  12. N

    Serikali sikivu - kodi zilizoondolewa na serikali baada ya kupokea maoni ya wananchi ili kuboresha

    Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la kihistoria na la kipekee). Baada ya uwasilishwaji wa bajeti...
  13. Sildenafil Citrate

    Mwigulu Nchemba: Tumepokea maoni ya tozo, tunashughulikia

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo. Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato mara mbili kwenye miamala ya simu wakati wa kutuma na kutoa. Kupitia mkutano wake na waandishi wa...
  14. Tengeneza Njia

    Maoni yangu kuhusu Sensa 2022

    Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa? Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
  15. Lanlady

    Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  16. JanguKamaJangu

    Kura za maoni ya Wamarekani 57% waunga mkono FBI kumpekua Trump

    Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu uamuzi huo. Kituo cha NBC News kilianzisha mchakato wa kura ya maoni kuona ni sahihi kile...
  17. jingalao

    Kenya 2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

    Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis. Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya. Hatuna la kujifunza hapo!! SAD BUT TRUTH
  18. M

    Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  19. S

    Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  20. Planett

    Maoni: AzamTVMax Web App

    Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua...
Back
Top Bottom