maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  2. Kwasasa App zote zinapatika Playstore pakua na Andika maoni yako.

    Aisee Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za msingi?? Kama haturuhusiwi kutambulisha App humu muweke wazi Tuachane na hayo Miezi kadhaa...
  3. M

    Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  4. LATRA CCC yakusanya maoni ya matumizi ya Kadi za Mwendokasi, una lolote? Bonyeza Link utoe ya moyoni

    Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
  5. J

    LGE2024 Mdau, yapi maoni yako ya Jumla kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
  6. Ajali ya bus la Wabunge: 98% ya wananchi waliotoa maoni yao mitandaoni waliombea wafe wote...!

    Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote... Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka.... Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii...
  7. LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  8. M

    Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

    Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa! Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
  9. Wadau wa ujenzi pitia hii toa maoni.

    Hii ni idea ya ramani ya nyumba. Mdau naomba uipitie utoe maoni yako wapi pa kuboresha. Natanguliza shukrani.
  10. Katika kuelekea safari ya kuoa maoni nayo kutananayo

    Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda", Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji"...
  11. R

    Ni yapi maoni yako kuhusu namna vyombo vya habari vinavyoripoti maafa ya kuanguka ghorofa Kariakoo?

    Nimefuatilia matangazo ya vyombo vyetu vya habari, naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba vyombo vyetu vimeambatana na Waziri Mkuu kisha vikaambatana na RC kadri anavyofika eneo la tukio. Viongozi wakiondoka na vyombo navyo vinazimwa. Hakuna chombo hadi sasa kilichotoa idadi ya watu ambao...
  12. 0

    Ipi sababu ya TCRA kuomba maoni ya wanachi kwa ujio wa Starlink? Hii haiwezi ikawa njia ya kuikataa?

    Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa. Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama...
  13. Tazama video hii kisha toa maoni yako

  14. Sisi kama wananchi tuna-support kwa 100% mradi wa refinery ya gas asilia kule Lindi ila tuna maswali ya kuuliza na maoni yetu

    NATURAL GAS REFINERY NI NINI??? Ni kiwanda kinachochakata gesi asilia kupitia joto kubwa sana ili kuitenga na maji, carbondioxide, hudrogen sulfide, mercury, na hydrocarbons ili upate gesi itayofaa kutumika majumbani na matumizi ya kawaida. hii ndo tafsiri nyepesi ya refinery ya gesi ambayo...
  15. Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  16. LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  17. Kura za maoni CCM,mgombea aambulia kura moja,ana mke na watoto waliopiga kura kijijini kwake

    Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake. Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini Kaibiwa kura? Familia imemtosa? Mimi na wewe hatujui Soma Pia: Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka
  18. M

    LGE2024 Leo kwenye uchaguzi wa kura za maoni, usanii Mtupu

    Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni. Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema Diwani wa Kata hiyo, Zakalia Mkundi siku ya jana alikuwa anafanya kazi ya ugawaji wa Kadi na...
  19. LGE2024 Dodoma: CCM wapiga kura za maoni kuchagua Wagombea, CHADEMA watoa fomu kimyakimya, ACT na wengine mmh

    Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya waliojiandikisha ambapo kwa mujibu wa waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengelwa amesema kuwa Dodoma...
  20. Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…