mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

    KUZAA MAPEMA SIO KUPATA MSAADA/SULUHU ZA UZEENI Anaandika Robert Heriel, Kionambali. "Nazaa mapema ili nipate wakunisaidia uzeeni" Hapo ataanza kupiga hesabu, "nikifikisha miaka 35 mtoto atakuwa na miaka 10, nikifikisha 45, mtoto wangu atakuwa na 20, hapo nguvu zitakuwa zinaanza kuyoyoma...
  3. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  4. demigod

    Feisala Salum Shtuka Mapema Mdogo wangu!

    Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako? Ulianza na wale wa Bernard Morrison. Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa. Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva. Shtuka mdogo wangu, hao wote wanatambua kuwa hutoboi dhidi ya Yanga SC na ndio maana mwanasheria...
  5. Pang Fung Mi

    Maisha matamu chukua chako mapema nimemfaulisha Mwanamke

    Amani iwe nanyi nyote wana JF, Ama kweli katika maisha ni kufa kufaana, nikiwa nimetulia sehemu mitaa ya Dodoma Jiji, nakula kuku na kutuliza Koo kwa flying fish za moto, nikiwa na mtoto wa kisandawe pembeni, akaja mdau mmoja katupia suti kali sana na glass nyeusi. Akanistua na kuniomba...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kutangulia sio Kufika; Goli la mapema

    KUTANGULIA SIO KUFIKA; GOLI LA MAPEMA Anaandika, Robert Heriel Jasusi Wengi wanapenda kutangulia, hata Mimi ni mmoja wao. Napenda magoli ya mapema, napenda ushindi wa mapema. Ushindi wa mapema ni mtamu Sana. Ushindi wa mapema unafaida zake nyingi mno ingawaje zipo hasara. Kama ungenikuta...
  7. The Eric

    Ukila huku unamkodolea lazima ufike mapema...

    Ndiyo nguvu za kiume nowdays ni shida nyingine kwa sisi wanaume. Kwa Bao la kwanza mwanamke unaye sex naye during sex epuka kumtazama sana sex parts yenye mvuto kama hips au kalio lake pia kama ana kasura kazuri usimtazame sana unampiga chabo kiaina..... nipples as usual kwa wale wenye hisia...
  8. DR HAYA LAND

    Wanawake wa lipa shika tuondoke ndio mnataka tuoe sio?

    Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi...
  9. Pang Fung Mi

    Tulioandaa na waliotayari kuandaa sherehe baada ya Mwigulu kutumbuliwa tujuane mapema

    Wasalaam JF Tangu mwezi huu wa pili uanze nafsi yangu inaamini Mwigulu Madelu Mburundi Nchemba atatumbuliwa na tayari nimejipanga kukesha kwa bajeti ya laki6 na siku hio ntapiga threesome matata sana na bia kama zote, ajipange sana huyo Mburundi wa hiari. Mwigulu out out In shaa Allah hio...
  10. K

    Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
  11. system hacker

    Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

    Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko. Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14. Then, nenda...
  12. P

    Ziara ya Rais Samia nchini China yazaa matunda mapema sana

    Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara wetu kulisha soko jipya la China. China inaidadi kubwa ya watu kuliko nchi zote duniani hivyo hii ni...
  13. BARD AI

    Utafiti: Kunywa Maji Mengi kunapunguza hatari ya kupata Magonjwa na kufa mapema

    Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
  14. SAYVILLE

    Kwa nini hatujakuza utalii wa 'kuuona mwaka mpya mapema'?

    Kuna aina nyingi sana za utalii. Mwingine unatokana na asili ya eneo husika, historia, utamaduni, nk. Dunia ya leo, utalii wa kisasa unatumia asili ya eneo husika na unaliongezea thamani kwa kutengeneza unique experience kwa mtalii anayekuja. Tanzania tumebahatika kuwa eneo kigeographia ambalo...
  15. 2019

    Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  16. sifi leo

    Kwenye vita hii natoa tahadhari kwa Balile, Kigwangalla vua nguo uoge ili utakate

    Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille, Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni. Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa...
  17. JF Member

    Gharama za Bando la internet ziko juu na linaisha mapema sana

    Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile. Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo. Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana. Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye...
  18. GENTAMYCINE

    Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
  19. Nyankurungu2020

    AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  20. B

    Muhambwe yapaza sauti kumshukuru Rais Samia kwa kufikisha mapema mbolea ya kupandia, wiki ijayo kushuka nyingine

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo. Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi...
Back
Top Bottom