Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa...
MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa .
BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho
BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako .
RAFIKI YAKO: Kaka...
Bro,
Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera.
Tuwashutue au tuwaache?
Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi.
Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume.
Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake.
Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika.
Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine...
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 .
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
tulikuwa tunalipia kwa...
MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO.
Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023
Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka hadi aone mpira upo kambani,katoa pasi nzuri iliyomkuta Mudathir aliyemtengea Mayele aliyeweka...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
Imekua ni kawaida kwa Vijana wengi kuoa mapema kuanzia miaka 20-25 tatizo wengi wanaolea nyumbani kwa wazazi unakuta nyumba vyumba vitatu Babu, Bibi, Baba, Mama na Wajukuu wengi mithili ya vifaranga wa Tai.
Wote wanaishi hapo nyumbani. Muda ambao kijana alitakiwa kutafuta maisha ndio...
Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa...
Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko.
Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana.
Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
Habari wadau!
Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini
1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k.
Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k?
2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
"Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi.
Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi...
Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake.
Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai.
Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.
Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.
Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni.
Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere.
EXTRACT YA RIPOTI INASEMA
"Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.