Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu.
Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako.
Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha.
Sina maana uache kufanya...
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele.
Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
Zamani suala la kumpatia mtoto ujuzi utakao mfaa maishani lilikuwa ni jukumu la mzazi. Mzazi mvuvi alimfundisha mtoto uvuvi. Mfua chuma, mganga, mkulima, mfinyanga vyungu, mrina asali, mfugaji, mfanyabiadhara nk. Ujuzi ulitoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto.
Ikaja hii elimu rasmi. Jukumu la...
CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea.
Hebu acheni huo ujinga!
Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni marehemu yupi anayemsema?!
Shauri yenu.
"GENTAMYCINE karibu sana Kwangu Kesho uje kula Krismasi ila ukija utalazimika kunawa sehemu Tatu zilizotengwa, na ikiwezekana utaenda katika Chumba Maalum ukaoge upya na Sabuni Maalum kisha utumie Sanitizer na mwisho kabla hujakaribia ndani itakupasa utuonyeshe Cheti cha Kuchanjwa UVIKO-19 na...
Hali ya uchumi ikiwa nzuri kunakuwa na mpishi wa kupika na mtoto huitwa chakula kikiwa tayari. Anakua na michezo ya kuchezea na nguo zinazohitajika kwa wakati, mfano za kukalia, za shule, za ibada nk.
Elimu ndiyo imetoa nafasi kwa watoto wengi kupata muda wa kufaidi utoto wao wawapo shuleni...
Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date)
Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date.
sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye mtoko wa kwanza kuna ishu ya ku kiss na mara nyingi inabidi mwanaume ndio umpige busu.
unaweza kudhani...
Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za mchezaji mmojammoja kama Samatta na Msuva ni nini kingine ambacho sisi kama Taifa tunaweza kujivunia...
Ndugu wanabodi,
Heshima sana kwenu. Naomba nijielekeze kwenye mada mohja kwa moja. Tangu niifahamu sekta ya fedha niliiona CRDB kama moja ya benki zenye kasi, ubunifu na hata umakini kiutendaji. Kutokana na hayo niliamua kwa hiyari yangu pamoja na wenzangu kujiunga na benki hii miaka kadhaa...
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhruri Ya Muungano Wa Tanzania.
CCM inatarajia kukutana Kwa Ajili ya Mkutano DEC 15 2021. Naomba ndugu Yangu Kijana Shaka Hamdu Shaka.
Tumia Fursa hii kumbananisha Pole Pole na Kumpa Ushauri Wa Bure, Ukishirikiana na Manguli Wengine Wa Kwenye Chama Hichi Kikongwe...
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua...
Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa.
Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya...
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.
Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?
Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.
Siyo siri...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021
Ungana...
Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.