Nimekuja na hii mada kwa makusudi mawili, moja kuwapa angalizo watanzania wenzangu na pili kujiandaa kwa mengi na makubwa yatakayofuata hapa Tanzania.
Kwa sasa sio siri tena, matazamio ya mabadiliko makubwa yenye tija kwenye uchumi na siasa hapa Tanzania chini ya utawala wa mama Samia yameyuka...