Danadana zinaendelea na kuendelea kutafuna fedha za umma. Ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Na huyu kaja na "si amri" - danadana zinaendelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022
Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala
Kikosi kazi...
Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM.
Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk.
Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya watu." Kauli ile ilinichanganya ila kadri siku zilivyosonga nilielewa kuwa si kila kiatu ninaweza kuvaa...
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni , vyuoni , na maishani .(nukuu kutoka kamusi ya kiswahili sanifu). Elimu huwasilishwa kwa njia mbili; nazo ni elimu rami na elimu isiyo rasmi . Elimu rasmi kutolea na walimu wenye sifa na juzi wa kufundisha wakati elimu isiyo rasmi ipo nje ya...
Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
Amani iwe nanyi wana bodi.
Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais.
Hii ni...
Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari
Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi...
Sijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee.
Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe
Naomba kuelimishwa
Aliyekuwa CAG, Ludovick Utoh amesema kuna mawaziri 8 waliachia ngazi katika awamu ya nne kutokana na ripoti za CAG. Amesema alipokuwa CAG walifanikiwa kuonesha fedha za EPA na mapendekezo yalitekelezwa japo mengine hayakutekelezwa.
Kwa miaka ya hivi karibuni hakukuwa na scandal kubwa kama za...
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limekata mapendekezo ya nauli yaliyotolewa na wadau wa usafiri wa masafa marefu na mafupi.
Uwamuzi huo umefikiwa leo Jumatano Aprili 13, 2022 baada ya Umoja wa Wasafirishaji Abiria Mkoa wa Dar es Salaam kupendekeza kiwango...
Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010.
Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye utata yaliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake kabla ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti...
Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi.
Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai...
Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
Picha: Rais Samia akihojiwa na DW
Akiulizwa ikiwa Vyombo vya Habari kufungiwa kutategemea Hisani ya Kiongozi mmoja hadi mwingine au upo utaratibu wa kuhakikisha vinafanya kazi kama taratibu zinavyoelekeza, Rais Samia amesema Vyombo vya Habari vitafanya kazi kwa Mujibu wa Sheria
Katika...
Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo.
Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza...
Sehemu hii, inazungumzia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na CAG pamoja na maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)
Hali ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya CAG kwa Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2019/20 inaonesha kuwa, kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.