mapendekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  2. Miss Zomboko

    Utekelezaji wa Mapendekezo Yaliyotolewa Katika Baadhi ya Kaguzi za Ufanisi

    Mwaka 2019/20, CAG alifanya ukaguzi wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa katika ripoti tano zilizotolewa Aprili 2016 ambazo ni; i. Usimamizi wa utoaji leseni na mikataba ya utafutaji na uendelezaji gesi asilia. ii. Ufuatiliaji wa utekelezaji na uzingatiaji wa Sera, Sheria...
  3. Analogia Malenga

    Ili kutenda haki na kutobambikia watu kesi, Mzee Kamara Kusupa apendekeza polisi wapunguziwe majukumu

    Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini. 1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe walimaanisha chotara? Baba mzungu na mama Mtanzania, Rangi ya kizungu ila nywele za kipilipili. 2...
  4. K

    Mawazo ya kuibadilisha TANESCO

    Kuhusu Bwawa la Nyerere: Ukweli ni kwamba Umeme wa Bwawa la Nyerere utatutosheleza lakini sio mwingi kiasi cha kuuza nje. Kuna umeme sasa umefika vijijini, joto la dunia linaongezeka, treni ya umeme, matumizi ya Air condition kuongezeka, viwanda vipya. Mfano viwanda vya chuma na cement vinatumia...
  5. Analogia Malenga

    Kirumbe Genda: Mapendekezo ya Adhabu kwa Askofu Gwajima hazitoshi

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge...
  6. Roving Journalist

    Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

    Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:- 1. Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi. 2. Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya. 3. Kuwe na sheria moja ya Uchaguzi. 4. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Tume. 5. Wanaopita bila kupingwa Wabunge na...
  7. Youngblood

    SoC01 Huduma mbovu katika Taasisi na mashirika ya Umma, ushauri na mapendekezo ya namna ya kuboresha

    Utangulizi. Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
  8. Lord OSAGYEFO

    Wananchi tunataka Katiba Mpya ndio maana tulishiriki kutoa mapendekezo Tume ya Warioba

    Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina Polepole, Kabudi na wengine. Tume ya Warioba ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni na mapendekezo ya Katiba...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Mapendekezo: Hivi ndivyo Serikali inapaswa kuwa

    Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge. Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani. Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na tume huru ya uchaguzi isiyoteuliwa. Tume ya uchaguzi iwe ni taasisi...
  10. K

    Mapendekezo kuhusu masoko ya Machinga

    Habari za majukumu ndugu zangu wa JamiiForums kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya nguvu na afya tele na jinsi anavyo zidi kutupigani kwenye kanga hili la Covid 19 au UVIKO 19 wimbi la Tatu Pili nitoe pongezi kwa serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia H...
  11. Mohamed Said

    Historia ya mapendekezo ya Katiba ya Gavana Edward Twining 1950 (Sehemu ya Kwanza)

    HISTORIA YA MAPENDEKEZO YA KATIBA YA GAVANA EDWARD FRANCIS TWINING 1950 (SEHEMU YA KWANZA) Juma Mwapachu mtoto wa Hamza Mwapachu miaka mingi nyuma katika mazungumzo wakati natafiti historia ya TANU aliniambia kuwa katika vitu vyote ambavyo baba yake alikuwa akijivunia katika maisha yake ya...
  12. kasanga70

    Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  13. Bemendazole

    SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  14. mzee_kijana

    SoC01 Maendeleo ya kijamii: Changamoto na mapendekezo yake

    Uhali gani mwanafamilia wa JF Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji. Kabula ya yote ni vyema tujue maendeleo ya kijamii ni nini? kwa ufupi tu maendeleo ya kijamii ni hali...
  15. B

    #COVID19 Serikali toeni takwimu kwa mujibu wa mapendekezo

    Inafahamika kuwa tume ya wataalamu iliyoteuliwa kushauri kuhusiana na ugonjwa huu ilitoa mapendekezo yake. Inafahamika kuwa % kubwa ya mapendekezo ya tume hiyo yamepokelewa na yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Hata hivyo katika yote, mawili haya yangalipo yakielea angani yakiendelea...
  16. MenukaJr

    Udhaifu wa mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu, Freeman Mbowe alisema kuwa Rais aunde Tume huru ya Katiba. Tukamwambia haiwezekani, swala la Tume ya...
  17. T

    Vipengele vya Katiba unavyodhani haviko sawa na mapendekezo yako

    Kwa kadri joto la kudai katiba mpya linavyozidi ndivyo ninavyojiuliza maswali mengi sana. Maswali haya yanatokana na kwamba tulishuhudia jirani zetu Kenya walitunga katiba mpya kwa mbwembwe nyingi sana, kwa kuaminishwa kwamba wamepata muarobaini wa demokrasia. Hata hivyo muda mfupi baadae...
  18. Miss Zomboko

    Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
  19. Masalu Jacob

    Napendekeza kufufua Azimio la Arusha na kurasimisha Katiba ya Warioba

    Habari Tanzania! Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote. Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao ikiwa nzuri wanapaswa kwanza kulifufua upya Azimio la Arusha na baadae ndio pafanyike kusimikisha...
  20. MsemajiUkweli

    #COVID19 Je, Viongozi na Watendaji Serikalini wameyapuuza mapendekezo ya Kamati ya kutathmini Covid-19?

    Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Tume hiyo ilikuja na mapendekezo zaidi ya 19 ambapo mpaka sasa ukiondoa pendekezo ya kuagiza chanjo ya Corona ambalo serikali...
Back
Top Bottom