Kuhusu Bwawa la Nyerere: Ukweli ni kwamba Umeme wa Bwawa la Nyerere utatutosheleza lakini sio mwingi kiasi cha kuuza nje. Kuna umeme sasa umefika vijijini, joto la dunia linaongezeka, treni ya umeme, matumizi ya Air condition kuongezeka, viwanda vipya. Mfano viwanda vya chuma na cement vinatumia...