Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine.
Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika.
Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi...
Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu mwema hata kama umeumizwa na mapenzi...
Usiwe mtu mbaya kisa umeumizwa...
Kuwa mtu mwema...
Kama vile tujuavyo ya kwamba hakuna maisha bila mahusiano ya mapenzi na Upendo ni Sheria ya asili ambayo ipo ndani ya Mwanadamu.
Kuna aina mbalimbali za uhusiano wa mapenzi, na kila mmoja hutegemea hisia, matarajio, na namna watu wanavyohusiana. Hapa ni baadhi ya aina kuu za uhusiano wa...
Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi:
Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi...
Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"!
Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote...
Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.
Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
VERSE 1:
Huamini miujiza mchumba
Sauti ya nyuki inasikika
Sogea karibu 'baby' 'times' zishafika
Unipe uhuru 'dear Nikiss' nnapotoka
Tukae mlimani dear Niwe 'free'
ndani ya kopa,
Penzi kwa fujo my boo
Moyo wangu ushauteka Raha ya Afrika RTD
Mimi ndo 'one naskika
Hivi kwanini dear
Moyo wangu...
KIWANDA CHA MAPENZI
1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira
Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara
Na manyakanga mkupi, mje kupata amara
Ni kiwanda cha mapenzi, kimezitoa ajira
2 Kipo huko chumvini, mkoa Tanga mjini,
Mwachimba chini kwa chini, mkitafuta madini
Kazi hii ya thamani, na ghali...
“Everyday” wa Phil Collins
Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄
Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo?
Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu🙌. Sasa haka katoto...
Wana ndugu Habari za muda huu, naombeni ushauri wenu wakati kama huu naona mtanisaidia kwa mawazo pia
Na Mpenzi wangu tulipendana sana na penzi letu sasa hivi lina kama miaka 4 Na kama hakuna shida yeyote iliyotupata tukashindwa kuitatua na mapenzi kuendelea lakini hii ya sahv naona imekuwa...
Ulichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?
nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa"
She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake
https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine
Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia
Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?
Dear Readers especially hawa wanaume,
Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi.
Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na majambazi wakakubaliana mmoja wao. Alale na mwanamke wa jamaa.
So mchizi akaambiwa na majambazi hao...
MAPENZI NA KISASI
Riwaya ya Kiswahili
Mandhari: Dar es Salaam na Kigoma
Wahusika Wakuu:
Juma: Kijana maskini lakini mwenye ndoto kubwa, anayetumia roho yake safi na juhudi kumpata mpenzi wake.
Hadija: Msichana mpole, mwenye ndoto za maisha bora, lakini anayebanwa na mapokeo ya kifamilia...
Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa...
Eti ni udhaifu 🤷🏾
Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa?
Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako?
Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
Sasa ni wazi kuwa Kizza Besigye alichumbiana na Janet Museveni mke wa Yoweri Museveni (Rais wa Uganda) kabla ya Museveni kumuoa.
Baadaye, Besigye kama daktari wa binafsi wa Yoweri Museveni alilipa kisasi kwa kumpokonya mpenziwe mrembo Museveni WINNIE BYANYIMA kutoka kwake, akamuoa na kumfanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.