Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani?
Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine yuko nje wameweka mikono inagusa mlango at the same spot, wanajiliza kijinga jinga tu.
Mara...
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️
Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula.
Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta...
Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi
Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili kuchukuliwa kama mwisho wa kila kitu. Kupoteza pesa, kazi, biashara, au hata mpenzi ni mambo yanayoumiza...
Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍
Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes, and fresh fruits. Yani alijitahidi kabisa kuhakikisha I start my day feeling special. ❤️
Later...
Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel.
Uamuzi...
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea,
Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana...
Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa.
Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke kipindi kigumu sana kwako kama vile anakuacha umepauka, unanuka jasho, umefubaa, unavaa nguo zimechakaa...
"USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA"
Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA.
Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka.
Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo...
Salaam alaikum,
Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake.
Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba.
95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. .
5% ya wazazi hawawakubali wapenzi wa watoto zao .
Anayekwambia "sitaweza kuishi bila wewe" ataendelea kuishi maisha yake...
Mapenzi upofu sio suala la mmoja karibu wote tuna huo upofu ila usikubali ukufanye mjinga hapo utakuwa umefeli .
Upofu wa mapenzi ni pale ambapo huoni wanayoona wengine kwa umpendaye na hata ukiona utajifariji kwa sababu mbili tatu.
Ujinga ni pale ambapo unaona kabisa dalili za hatari ila...
Mkasa ni wa kweli kabisa
Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote.
Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana
Basi siku moja...
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume.
************************
Muhimu sana kuzingatia
Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za...
Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake...
Mapenzi Shikamoo!
Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
Habarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.