mapenzi

  1. Nani mwingine anachukia Movie za mapenzi / romantic films na love stories kama mimi?

    Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani? Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine yuko nje wameweka mikono inagusa mlango at the same spot, wanajiliza kijinga jinga tu. Mara...
  2. Ushauri: Nayateketeza mahusiano na mpenzi wangu kwasababu ya kutingwa na majukumu

    Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️ Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula. Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta...
  3. Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

    Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
  4. Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi

    Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili kuchukuliwa kama mwisho wa kila kitu. Kupoteza pesa, kazi, biashara, au hata mpenzi ni mambo yanayoumiza...
  5. Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  6. Mapenzi ya valentine: mpenzi wangu amenifanya nijihisi malkia!

    Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍 Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes, and fresh fruits. Yani alijitahidi kabisa kuhakikisha I start my day feeling special. ❤️ Later...
  7. R

    Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  8. Msamaha: Huwa ni ngumu wewe kuomba msamaha? au huwa ni vigumu sana wewe kuombwa msamaha?

    Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea, Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
  9. Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

    Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana...
  10. M

    Ukimwezesha Mwanamke wako unajichimbia kaburi lako mwenyewe

    Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa. Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke kipindi kigumu sana kwako kama vile anakuacha umepauka, unanuka jasho, umefubaa, unavaa nguo zimechakaa...
  11. T

    Usitafute mapenzi umri wa kutafuta pesa

    "USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA" Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA. Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka. Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo...
  12. Elimu juu ya nguvu za kiume, PMS, saikolojia, Sanaa ya mapenzi, lishe na mitishamba. Too deep

    https://youtu.be/Fh1P-A3RQbg?si=tEi8cxUnz1rTIuQe
  13. L

    Kiuno hana kisa chipsi kuku ya mapenzi

    Salaam alaikum, Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake. Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
  14. St. Valentines Day, ukweli mchungu kuhusu mapenzi na mahusiano

    Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba. 95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. . 5% ya wazazi hawawakubali wapenzi wa watoto zao . Anayekwambia "sitaweza kuishi bila wewe" ataendelea kuishi maisha yake...
  15. M

    UPOFU WA MAPENZI USIFANYE UWE MJINGA, SHITUKA

    Mapenzi upofu sio suala la mmoja karibu wote tuna huo upofu ila usikubali ukufanye mjinga hapo utakuwa umefeli . Upofu wa mapenzi ni pale ambapo huoni wanayoona wengine kwa umpendaye na hata ukiona utajifariji kwa sababu mbili tatu. Ujinga ni pale ambapo unaona kabisa dalili za hatari ila...
  16. Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

    Mkasa ni wa kweli kabisa Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote. Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana Basi siku moja...
  17. Jamvi la wanawake: Njooni tugawane ujuzi wa kuwapagawisha wiki hii

    Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume. ************************ Muhimu sana kuzingatia Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za...
  18. Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi. Eti leo tena nimeachwa Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini? Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu? Najuta kumpa thamani yangu. Nawachukia wanaume kuanzia leo. Mnatesa sana wanawake...
  19. Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

    Mapenzi Shikamoo! Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
  20. Inawezekana kumpenda mtu bila kumtamani

    Habarini wanajamvi. Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X ... Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi? Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…