mapigano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Mapigano ya DRC na M23 yameishia wapi?

    Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
  2. J

    Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC

    .. ..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC. ..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao. ..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia...
  3. JanguKamaJangu

    Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  4. M24 Headquarters-Kigali

    Mapigano Eastern Congo tusiingie kichwa kichwa, tutachafuka

    Kama taifa tusijipeleke kichwa kichwa huko Eastern Congo hawa Rwanda-EAC member (kupitia Banyamulenge M23) wanachota utajiri wa Congo na kwenda kujenga Kigali huku SADC (ikiwemo Tanganyika na SANDF) wanaenda kuuliwa kama kuku huko na EAC (Tanganyika tena) nao wamevamia mtumbwi wa vibwengo bila...
  5. Ritz

    Makubaliano ya kusitisha mapigano yataendelea kama ilivyopangwa huko Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇱BREAKING: Ceasefire agreement will continue as planned. Crisis resolved, Israeli Cabinet will meet to approve the ceasefire and exchange deal. Tomorrow, the negotiating teams are expected to provide a review of the agreement to government ministers.—Hebrew CH12...
  6. Almendezz

    Maelezo kamili ya makubaliano yajayo ya kusitisha mapigano huko Gaza

    Salaam wadau. haya ndio makubaliano yanayotegemewa kufikiwa kati ya Israel na Hamas hivi punde ⚠️ AWAMU YA 1 (SIKU 42): 1. Kusimamishwa kwa Muda kwa Uhasama: - Kusitishwa kwa muda kwa shughuli za kijeshi na pande zote mbili. - Vikosi vya Israel vitaondoka katika maeneo yenye watu wengi...
  7. Dalton elijah

    Israel Na Hamas Kusitisha Mapigano

    Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanataraji kukamilika. Hatua hiyo inakuja wakati Rais wa Marekani Joe Biden akisema makubaliano yako ukingoni kutimia, na kwamba utawala wake unashughulikia suala hilo kwa haraka...
  8. Ritz

    Israel na Palestina ziko mbioni kusitisha mapigano

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 🇵🇸 Israel and Palestine are on the verge of a ceasefire Netanyahu is preparing to present the agreement to end the war in Gaza to his government tomorrow for approval. Channel 12 Hebrew published some details of the crystallized deal, quoting a political official...
  9. errymars

    Netanyahu na Biden wajadili mpango wa Kusitisha Mapigano Gaza na Kuachiliwa Mateka

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amezungumza na Rais wa Marekani Joe Biden, kuhusu maendeleo katika mazungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. "Waziri Mkuu alijadiliana na rais wa Marekani maendeleo ya mazungumzo ya kuwaachilia mateka wetu na kumsasisha juu ya mamlaka...
  10. Ritz

    Mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Sasisho la mazungumzo ya kusitisha mapigano: Kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV: ➤ Hamas imewasilisha Misri orodha ya wafungwa ambao wataachiliwa katika awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. ➤ Maelewano yamefikiwa kuhusu pointi na maeneo...
  11. State Propaganda

    Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  12. Mtu Asiyejulikana

    Al Jazeera: Israel haitaki kusitisha mapigano yaendelea kushambulia Lebanon

    Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame. Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.
  13. Kiminyio 01

    Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  14. Ritz

    Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

    Wanaukumbi. Yerusalemu CNN - Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba...
  15. The Mongolian Savage

    Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

    Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan. Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao...
  16. Komeo Lachuma

    Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

    #Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.⁠ .⁠ “[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its...
  17. U

    Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha "uvamizi" wa Israel --- Hezbollah says priority is defeating Israel, but open to efforts to halt...
  18. D

    Wanajeshi wanne wa Israel wauawa kwenye mapigano

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa askari wake wanane wa wameua katika makabiliano na wapiganaji wa Hezbillah kusini mwa Lebanon IDF inasema watatu walikuwa wa kitengo cha Egoz, Awali ilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon...
  19. Komeo Lachuma

    Hamas yaishutumu Israel kukataa kusitisha Mapigano

    Kumbe Maskini Hamas wenyewe wala hawataki Vita ni sisi tu tunaowalazimisha. Ni sisi tu tunaelewa uwezo wao ulivyo mkubwa wao wenyewe wameshachoka hayo maisha.
  20. A

    Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

    UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo. Ripoti hiyo inasema...
Back
Top Bottom