mapigano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

    Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza lililotolewa na Rais Joe Biden, wakisema wanapinga makubaliano yoyote kabla ya Hamas...
  2. Ricky Blair

    Mapigano hatari kwenye Series zote

    Bado sijawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa wawili.
  3. B

    Dar es Salaam ilikuwa Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  4. Pdidy

    Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa tuseme imetosha waliobakia waendelee na maisha ila adabu wamekipata walichokitafuta. ====== Kiongozi...
  5. M

    Vita vya Gaza: Marekani ina ‘matumaini’ kwamba Hamas itakubali pendekezo jipya la Israel la kusitisha mapigano

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema ana matumaini kuwa Hamas itakubali pendekezo la hivi punde la Israel la kusitisha mapigano Gaza na kuwaachilia mateka. Aliita pendekezo hilo kuwa la "ukarimu usio wa kawaida", wakati ujumbe wa Hamas ulipojadiliana na wapatanishi mjini...
  6. Msanii

    Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Duniani kote kila Bara kuna mapigano yanayoendelea huku kukiwa na ushawishi sifuri kwenye kusitisha hizo vita. Ninasema mapigano kwa sababu sehemu kubwa ya mapambano hayo yametokana na ushawishi wa makundi yanayolenga kufaidika na vita hizo. Kinachoendelea Ukraine na Urusi ni vita kamili kwa...
  7. Webabu

    Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao. Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika...
  8. MK254

    Waarabu wa Sudan waapa hakuna kusitisha mapigano kwenye ramadhani, ni mdundano na kuuana na mpaka kieleweke

    Wote dini moja, tena ndugu ila wataingia kwenye mfungo wa ramadhani na kuteseka na njaa yake ilhali wakiendelea kuuana Senior Sudanese Armed Forces General Yasser al-Atta has said there will be no truce in Sudan during the Muslim holy month of Ramadan unless the Rapid Support Forces (RSF)...
  9. FaizaFoxy

    Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

    Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo. Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi...
  10. H

    Mapigano Makali ya Kivita Katika Mji wa Jadotville, Congo 1961

    Habari zenu wana Jf! Leo tupate hii hadithi ya wanajeshi wa Irish huko nchini Congo mwaka 1961. Mwaka 1961, wanajeshi wa Ireland walipata changamoto kubwa huko Jadotville, eneo lililoko chini Congo, wakati wa mgogoro wa kisiasa na kijeshi katika eneo hilo. Hali hiyo ilisababisha mapigano...
  11. Webabu

    Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa kaskazini ya Gaza. Katika mapigano ya jana Hamas ilifanikiwa kurusha makombora kadhaa kulenga maeneo ya...
  12. Ritz

    Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa...
  13. Ritz

    Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  14. Eddo Sambai

    Vikosi vya Israel vyavamia Jenin katika Ukingo wa Magharibi huku juhudi za kusitisha mapigano zikiendelea

    Wenzetu kwenye BBC Radio 4 wamekuwa wakizungumza na Mustafa Barghouti, mwanasiasa wa Palestina na kiongozi wa Mpango wa Kitaifa wa Palestina, ambaye amekuwa akizungumzia hali ya Jenin. Anasema kuna "uvamizi mkubwa wa Israel" katika Jiji la Jenin na kambi ya wakimbizi ya Jenin, katika Ukingo wa...
  15. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  16. Ritz

    Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  17. econonist

    Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF. Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano...
  18. sky soldier

    vijana wa Arusha wanapigana kwa visu. Wanaume tunazichapa kavu na maisha yanaendelea

    Kisu ni moja ya silaha hatari sana ila watu wanachukulia poa. Kuna sehemu kisu kikigusa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu unapoteza lita za damu Hivi karibuni kuna kijana kachomwa kisu ikiwa ni muendelezo wa matukio haya ya kinyama, Pichani ni Marehemu Bennyrick Lamar akiwa kapakiwa kwenye...
  19. M

    Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

    Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni. Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake...
  20. B

    Mapigano kati ya Israel na Palestina yalianza tangu enzi za vita kati ya Mfalme Daud Muisrael na Goliati Mfilisti (Mpalestina)

    Miaka ya nyuma kabla ya kuzaliwa Kristo (BC) kulitokea mapigano kati ya Waisrael na Wakaanani ambao ndio wenyeji wa eneo hilo wa kabila la Wafilisti ambao ndio Wapalestina wa sasa Waisrael walikuwa wakiaminika kuwa ni wacha Mungu na Wafilisti walidaiwa kuwa wapagani kwa wakati huo Katika vita...
Back
Top Bottom