Wanajamvi,
Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender.
Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City.
Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa...
Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao kushiriki kwenye mazungumzo yoyote na serikali kuu kuhusu kusitisha mapigano.
Chama cha (TPLF)...
Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa.
Mamlaka zimesema ili mapigano kusitishwa kikamilifu pande zote mbili zinahitajika hivyo upande wa Tigray...
Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive"
Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
Shukrani kwa juhudi kubwa za Serikali ya Misri.
Serikali ya Israel na Wanamgambo wa Hamas & Islamic Jihad hatimaye wamekubaliana kusitisha mapigano yaliyodumu kwa siku kumi na moja.
Kwa mujibu wa muafaka huo wa pande mbili na usio na masharti mapigano yatasitishwa kuanzia saa 8:00 usiku huu...
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi.
Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya.
Kifo...
Waziri Mkuu wa Ethiopia amekiri uwezekano wa kuwepo kwa matendo ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la Tigray mwezi Novemba mwaka jana.
Abiy Ahmed amekiri pia kwa mara ya kwanza, baada ya mamlaka kukanusha mara zote, kuwa vikosi vya Eritrea...
Chanzo: www.trt.net.tr
Wanajeshi 4 wa China wadaiwa kufariki kwenye mapigano ya mpaka wa India mwaka 2020
Wanajeshi 4 wa China wameripotiwa kufariki mwaka jana kwenye mzozo wa mpaka wa India katika Bonde la Galvan.
Kulingana na ripoti ya Jeshi la Ukombozi wa Umma (PLA) ya gazeti la siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.