mapigano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waliofariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas wafikia 1,100

    Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Al Jazeera na Reuters wakiwemo Watoto zaidi ya 100. Pia, watu zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 123,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi hayo kati ya kundi la HAMAS na Jeshi la Israel. Aidha, takwimu zinaonesha kwa kipindi cha...
  2. Takriban watu 580 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya Israel na HAMAS

    ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la HAMAS kutoka Palestina na Jeshi la Israel Mapigano yanaendelea hadi sasa ambapo Waziri Mkuu wa Israel...
  3. Ukraine wamechukua silaha nyingi sana za Warusi waliotoroka mapigano

    Ni nyingi sana mpaka imekua mtihani kuzitunza, zinatumika kupelekea moto Warusi.... Ukraine has recovered a vast array of Russian military equipment and is putting it to use. That includes 800 pieces of artillery, tanks, and other vehicles, Deutsche Welle reports. But experts say there are...
  4. Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  5. B

    RSF kusitisha mapigano kupisha Sikukuu ya Eid

    Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano. Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa...
  6. S

    Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

    Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut...
  7. Pande zinazopigana zalaumiana kukosa uaminifu wa kusitisha mapigano Nchini Sudan

    Licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kusitisha vita baina ya pande mbili zinazogombea madaraka kumeibuka lawama huku kila upande ukilaumu Jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya RSF wameendelea kutishia utulivu hasa katika Mji Mkuu wa Khartoum na hivyo kuwa na uwezekano wa kuvunjika kwa...
  8. Huku mapigano yakiendelea Belgorod, wengine waliamsha amsha Bryansk, Urusi ndani

    Mambo mengi muda mchache, mbele kwa mbele, ulimwaga unga wenzako wanamwaga mboga, Mrusi vita vimemkuta ndani, hawa ni Warusi walioamua kumuondolea Putin uzembe maana amesababisha maafa ya Warusi kwenye vita kule Ukraine, vita ambavyo havina tija kwa Urusi. Warusi wameuawa kwa maelfu pale...
  9. M

    Ukweli wa mapigano ya mji wa Bakhmut nchini Ukraine

    Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi: 1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk. 2.Wanajeshi wa Urusi (Russia Regular Army) walipewa kazi mbili: (i) Kuteka vijiji vote vinavyouzunguka...
  10. Sudan: Idadi ya Watu waliofariki kutokana na Mapigano yafikia 822

    Chama cha Madaktari nchini humo kimetangaza kuwa idadi ya vifo vya Raia kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Jeshi na vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) imefikia 822, na wengine 3,215 wamejeruhiwa Jiji la El-Geneina katika Jimbo la Darfur Magharibi linatajwa kuathirika zaidi tangu...
  11. Marekani yasema Majenerali wanaopigana Sudan wakubali kusitisha mapigano kwa siku tatu

    Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine. Makubaliano ya awali ya kusitisha...
  12. Mapigano yasababisha huduma za Intaneti kuzimwa Sudan

    Mtandao wa #NetBlocks umeripoti kuwa Vita ya pande mbili za Majeshi zinazopigana Nchini #Sudan imesababisha upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti kushuka hadi kufikia 2%. Mapigano hayo yaliyoanza Aprili 15 kati ya vikosi vinavyomtii Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na vya Makamu...
  13. Tanzania yalaani mapigano yanayoendelea Sudan na kutoa wito wa suluhu, kuondoa raia wake ikihitajika

    Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania aliyedhurika. Tanzania imesema inafanya mpango wa 'evacuation' kwa raia wa Tanzania endapo itahitajika.
  14. UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
  15. L

    Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
  16. Sudan: Idadi ya Watu waliouawa katika mapigano yafika 185

    Idadi hiyo ni taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) ikielezwa kuwa imefikiwa baada ya mashambulizi ya siku 3 mfululizo kati ya Jeshi la Serikali na Wanamgambo wa Kundi la RSF. Wakati huohuo, Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini Sudan, Aidan O'Hara amejeruhiwa baada ya nyumba yake kushambuliwa Jijini...
  17. Sudan: Watu 50 wauawa, zaidi ya 1,000 wajeruhiwa katika mapigano

    Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu wa Khartoum. Pande zote zinadai zinadhibiti maeneo muhimu kama vile Ikulu ya Rais. Jana Aprili 16...
  18. L

    Wanajamvi, anayejua kwa undani mgogoro na mapigano yanayoendelea huko Sudani, naomba atueleweshe

    Kuna taarifa kuwa Kiongozi wa serikari ya Sudani ya kaskazini na naibu wake wametofautiana. Jambo ambalo limesababisha jeshi kugawanyika na kuanza kupigana wao kwa wao, je mzizi wa mgogoro huu ni nini? Mwenye data tafadhari.
  19. DR Congo: Makubaliano ya kusitisha Vita yavunjika tena, mapigano yaanza upya

    Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23. Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
  20. Ethiopia: Meta yadaiwa fidia ya Tsh. Trilioni 4.6 kwa kuchochea mapigano

    Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…