1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji.
Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO.
Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya...
Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa.
Azam Media🙌🏻
👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba.
👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani.
👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti.
Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
Rais Samia anaenda kuweka historia nyingine mpya katika sekta ya elimu licha ya maboresho makubwa yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2021/22 kwa sekta ya Elimu, tayari serikali imepanga kutumia kiasi cha takribani Trilioni 2.78 katika miradi ya maendeleo ya Elimu.
pia Kupitia mradi wa...
UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR?
Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.''
Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili za mzalendo huyu ambae hatajwi katika historia ya Zanzibar.
Nimemtaja Ahmed Rashaad Ali mara nyingi...
Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 1907
A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907.
The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022.
"Msipo jirekebisha ninyi...
Siku zote inaaminika kuwa mteja ni mfalme. Je ni kweli? Wakati mwingine mteja anaamua kwenda kutafuta huduma sehemu nyingine. Yote ni kwasababu amekutana na maswaibu mengi pindi alipohitaji kupata huduma. Baadhi ya watoa huduma hawana lugha nzuri kwa wateja.
Siku moja nilimshuhudia mama mmoja...
Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
Chuo kikuu cha Oxford kimekamilisha jaribio la kwanza la uchunguzi wa kitabibu kuhusu ufanisi wa chanjo mpya ya ugonjwa wa Malaria iliyopewa jina la R21/Matrix-M.
Kwa mujibu wa chapisho la uchunguzi huu lilolotolewa kwenye Jarida la The Lancet, chanjo hii inaweza kutengeneza kingamwili zenye...
Wakati hali ikionekana kuwa shwari, mvutano wa kisiasa umeongezeka tena, kufuatia tuhuma za baadhi ya Viongozi Wakuu kupanga njama ya kumng'oa madarakani Rais Evariste Ndayishimiye
Mnamo Agosti 2 Rais Ndayishimiye, alipokuwa akiwahutubia maafisa wa Serikali alionya kuwa “baadhi ya watu” ambao...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa...
Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao.
Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya kutosheleza mahitaji yao.
Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye kuleta mabadiliko yanayoigusa jamii moja kwa moja.
Akizungumza hapo jana Agosti 29,2022 alipotembelewa na washindi wa bajaji na pikipiki kupitia kampeni ya ‘M Pesa...
UTANGULIZI:
Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni...
Kwa miongo mingi nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, ambazo kilimo ni nguzo kuu ya uchumi, zimekuwa zikitegemea kwa kiasi kikubwa mvua katika kufanya kilimo. Kilimo cha aina hii kilifanikiwa kwa kiasi chake miaka ya nyuma (tuseme miaka ya 1980 na kurudi nyuma), wakati hali ya hewa ikiwa...