mapinduzi

  1. B

    CCM kuvifanyia maboresho vyombo vyake vya Habari

    CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
  2. Adharusi

    Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

    Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi Nimesema...
  3. Stephano Mgendanyi

    Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  4. MnllnrD

    SoC02 Mapinduzi ya Tatu ya Internet (Web 3) na Fursa Zake kwa Kijana wa KiTanzania

    Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games. Lakini je...
  5. J

    Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  6. B

    Je, kuna umuhimu wa mapinduzi ya viwanda nchini Tanzania?

    HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
  7. Richard

    Ni vigumu sana serikali kupandisha mishahara wakati uchumi wetu haujulikani umesimama vipi na serikali haina mapato ya kutosha

    Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji. Lakini serikali...
  8. Mohamed Said

    Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  9. Sky Eclat

    Mfalme Faisal II wa Iraq aliuliwa 1958 na wanajeshi wake katika mapinduzi

    Ilikua mwaka 1958 Mfalme Hussein wa Jordan aliomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq ili kukabiliana na mgogoro wa Lebanon. Mkuu wa majeshi wa Iraq, Colonel Abd al-Karim Qasim aliandaa jeshi. Cha kushangaza alilielekeza jeshi kuingia Ikulu ya Mfalme mjini Baghdad. Mfalme Faisal aliamuru askari...
  10. Mpekuzi Tanzania

    Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

    Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi...
  11. sky soldier

    Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

    SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho) Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho) Septemba 8, 2021...
  12. Konseli Mkuu Andrew

    Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

    Salaam wakuu, Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru...
  13. Lady Whistledown

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukodishia visiwa 52 wawekezaji

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja. Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  15. Mwanamayu

    Duh! Kumbe Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman aliyekimbilia uhamishoni baada ya Mapinduzi mpaka mwaka 2021

    Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa? 'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with...
  16. J

    Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

    MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi. Kwa mujibu wa...
  17. Idugunde

    Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  18. M

    Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  19. dubu

    Mapinduzi Afrika: Wananchi wengi wanapenda Utawala wa Kidemokrasia kuliko wa Kijeshi, hawapendi Mapinduzi

    Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi. Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali ikipinduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na jeshi. Hali inaweza kuwa ya kutisha zaidi, kwa sababu...
  20. N

    Hivi kweli Azam FC timu iliyokuwa inategemewa kuleta mapinduzi ya soka inazidiwa point 23 na Yanga inayoongoza ligi?

    Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri. Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
Back
Top Bottom