Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa zamani wa jeshi ambaye ameripotiwa kuikosoa serikali.
Wizara ya haki Jumanne ilisema uchunguzi...
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.
Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman.
Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa.
Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC
Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025.
Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba 2 Prof. Palamagamba Kabudi, mchapa kazi asiyechoka William Lukuvi, mawaziri na wabunge kadhaa wenye...
Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi.
Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa.
"Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani.
Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan.
Kikao...
Epl Arsenal anadhaminiwa na fly Emirates ambao kwa kiwango kikubwa walishiriki kwenye management ya Arsenal hadi kuja na plan ya kujenga uwanja wa Emirates
Lakini kwa saivi Fly Emirates wamekuja na Emirates FA cup ambapo timu zote shiriki zimekubali kuvaa hivyo ikiwemo man City inayomilikiwa na...
Anaitwa Abdulrahman Amiri Shimbo.
Alikuwa katika kikosi cha JWTZ kilichotumwa Seychelles kufundisha Jeshi la visiwa hivyo.
Major Abdulrahman Shimbo alikwenda Seychelles mwaka 1978 kuwa katika kikosi cha JWTZ kilichoongozwa na Lt.Col.Hassan Ngwilizi.
Hassan Ngwilizi alikuwa mwalimu wa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar.
Rais wa...
Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI.
Na
Kenan L. Kihongosi
KATIBU MKUU UVCCM
Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema.
Pili nakishukuru Chama Cha Mapinduzi sambamba na Mweyekiti wake ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki.
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.