Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku.
Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ametangaza kujiuzulu akisema ni kutokana na kile alichokiita "MAmazingira...
Salaam ndugu zangu,
Kuna hii habari nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii ikieleza Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amebeti pesa za simba.
Je, ina ukweli?
Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi.
Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini...
Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Pia Soma:
- Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri...
Yalikuwa mashindano yenye heshima hivi sasa yamekua mashindano ya kihuni yakiongozwa na marefariii wahuni hatujapata kuona nchi hii.
Upuuzi ulianza mechi ya mlandege kila mtu alishangaa ni kwamba refariiii aliingia na matokeo, fanya ufanyaloo Mlandege ishinde
Tuje mechi ya Simba hii ndio...
Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika
Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya Kombe la Mapinduzi heshima inayostahili. Ukiacha kombe itakalobeba leo na zawadi za pesa, nadhani...
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!?
Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno 1698, Zanzibar na Pemba zilikua chini ya watawala wa Kiarabu kutoka Omani, na baada ya zaidi ya karne...
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia
wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
Match Day.
Updates...
Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku.
Fainali iliyopita;
Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
.
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika .
Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
Wanabodi,
Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru.
Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea siku yao ya Uhuru kwa kishindo wakiwa pamoja na Rais wao Dr. Ruto. Nchi nyingi hasa zilizojikomboa...
Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi.
Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala ili kupata viongozi waliopatikana kwa ridhaa ya wananchi.
Bahati mbaya sana kikundi cha watu...
Mpaka leo Dunia nzima haijapata ukweli kama alipigwa risasi au kutumbukizwa baharini.
Hanga alikubalika sana kwa uwezo wake wa kudadavua mambo na kuwa na ushawishi mkubwa ndio maana Mzee Karume alimchukia. Hii ni kwa mujibu wa mzee Aman Than
Kwa nini CCM hawaweki ukweli huu?
Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee.
NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya kumfurusha Sultani.
Kuna wakati mtaani kulikuwa na msemo wa "Mapinduzi ya Zanzibar" kumaanisha mambo yanayotokea yasiyoeleweka au yanayochanganya kiasi cha kuvuruga akili za watu. Tumeona katika nusu fainali hii ya Simba vs Singida maana halisi ya msemo huo.
Tukianzia, dakika za nyongeza zilitajwa 8 halafu...
Kama unadhani kombe la Mapinduzi ni rahisi, basi waulize APR na Singida.
Kombe linaitwa Mapinduzi, maana yake muda wowote utarajie Mapinduzi. Mashindano ya kombe hili ni magumu sana.
Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya.
Yanga mliona mbali sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.