mapinduzi

  1. Kamati ya mashindano ya kombe la Mapinduzi inahujumu mashindano na kuyafanya yawe kituko mbele ya mataifa mengine yaliyo serious na kukuza soka

    Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika. Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
  2. Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
  3. FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024. Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali. Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege? Kikosi cha Simba kinachoanza Kikosi...
  4. E

    Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

    Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
  5. Timu yenye malengo haipeleki kikosi kabambe Mapinduzi Cup

    Mashindano ni mengi sana kwa wachezaji walewale. Ligi, FA, CECAFA, Caf champions, AFCON na mechi za kirafiki zote hizi ni muhimu na zina uwezo wa kuzalisha majeruhi kwenye timu yako. Haya mashindano ya Mapinduzi ni muhimu sana kisiasa lakini ratiba yake inaning'inia tu na malengo yake ni hadi...
  6. Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na uchuuzi wa nazi na samaki na muda wao wa jioni ulipofika walikuwa wakijumuika pamoja kusakata kabumbu na...
  7. Kocha Gamond tunakuelewa, Mapinduzi Cup haijawai kuwa na tija yoyote

    Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi...
  8. S

    Ukweli mchungu: Kombe la Mapinduzi ni mashindano ya kutoa fursa kwa wachezaji wanaochipukia

    Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona vipaji na uwezo wa wachezaji chipukizi pamoja na wale wa kikosi cha pili. Kutumia proffesinal players...
  9. FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  10. FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.
  11. B

    Naibu Katibu Mkuu wa ASP Youth League ya Mapinduzi ya 1964 atema nyongo

    Mzee Baraka - CCM IMESALITI, NIA NA SABABU ZA MAPINDUZI MATUKUFU YA 1964 https://m.youtube.com/watch?v=habiWXzPxFM Mzee Baraka Shamte mwenye umri wa miaka 94 aliye na afya njema, katika mahojiano exclusive na Jambo TV akikumbuka mapinduzi matukufu na uongozi wa Mzee Abeid Amani Karume wa...
  12. Kombe la Mapinduzi ni mnada wa wachezaji wa Zanzibar

    Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka Zanzibar na kuvisajili kwenye timu za bara (ajira). Baada ya walevi na ulevi wao wa kuuchukia...
  13. Mkumbuke tu Kombe La Mapinduzi Lina Ile Laaana kama Community Shield ya Uingereza.

    Habari wana Jukwaa. Weekend inaanza. Ila hapa nataka niwakumbushe kitu kimoja kua msijisahau kua Team ambayo hua inabeba Kombe La Mapinduzi Mara Nyingi hua haibebi Kombe La Ligi Kuu Tanzania Bara. Hii ni sawa na COMMUNITY SHIELD ya Epl Team ambayo hua inabeba ile ngao mara nyingi hua haibebi...
  14. FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

    Match Day. Simba Vs APR Msimamo wa Kundi B Ulivyo. Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane. Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali. APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo. Kitu ambacho hakiwezekani. Akipata huo ushindi...
  15. Ernest Bai Koroma: Rais wa zamani wa Sierra Leone ashtakiwa kwa uhaini kwa jaribio la mapinduzi

    Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi. Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza kadhaa huko Freetown, na kuwaachilia karibu wafungwa 2,000. Amekana kuhusika na shambulio hilo...
  16. FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC πŸ“† 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar πŸ•– 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu. Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi. KIKOSI CHA YANGA...
  17. FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

    Match Day Simba Vs Singida FT FC. Time: 20:15. All the Best Mnyama #nguvumoja# Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa. Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali. Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B. Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja...
  18. FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
  19. FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
  20. Refa wa Kombe la Mapinduzi kanichekesha sana!

    Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa. Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…