Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako.
Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!!
Kazi Iendelee 🇹🇿
Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu...
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,
Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la!
Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile...
Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni...
Rais anapokea ndege ya Tisa
Taarifa zaidi kukujia
RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga
Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe.
Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
Good morning future Billionnaires[emoji23]
Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri.
Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.
Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai )...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.