Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe anapenda kuwakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida na Wilaya zake katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Singida itakayoanza tarehe 15-17 Oktoba, 2023...
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote...
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla.
Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
Ifucha, Tabora
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni...
Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho.
Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo, wanaombwa kuwapa MABINGWA No 2 mapokezi ya heshima.
Kazi walioyofanya ni kubwa haswa KUSHINDA...
Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa.
Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
Sisi WanaCCM tumezoea kusombwa na malori kwenda kupokea viongozi wa kitaifa wanapokuja kufanya ziara za kichama hata kiserikali.
Baada ya uminywaji wa demokrasia kwa miaka zaidi ya 8, hatimaye vyama vya siasa vimeruhusiwa kuanza kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi...
CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda.
Ni vizuri...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini.
Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...
Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje?
Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi BAVICHA iliyoko mbele yetu. Msigwa na...
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja...
Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke.
Habari...
Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu.
Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro.
Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali.
Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.