Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC.
Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC kutoka Afrika Kusini yamemuomba msemaji huyo wa M23, Willy Ngoma, kupiga picha ya pamoja kama kumbukumbu.
Majeshi hayo na mengine ya SADC kutoka South Africa na M23 na yametia saini kuondoka jumla nchini Congo 🇨🇩 na kurudi kwao.
Source: Halisi Media