Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

Mm nahisi Kuna jambo linalo endelea chini kw chini sisi wengine hatulijui.. mm Bado naamini SADC Kuna jambo walikuwa hawalijui waliingia mkenge... M23 wanapenda kuichua nchi total .. huyu kibonge wa Congo SADC hawamtaki pale ni kibaraka tu
 
M23 ni watu poa sana,maranyingi sana kupita kiasi wameomba mazungumzo ya amani lakini yule mbichwa Tshekedi kake Mwijaku ni bwege kabisa yule.
 
Duh sijaelewa Karissa martini mantiki ya SARDIC Kuondoka Congo. Je SARDIK wana hofu gani
 
Soldiers dont like fighting its the politician that make sordiers fight each other and go to war
 
Duh! Aibu gani hii jamani....

Willy Ngoma namkubali, social sana. Ila tumetia aibu
 
Mwamba kabisaa kutoka kwa watu makini M23 wazee w kutembeza kipigo kwa wavunja tofari.Bravo
KAZI ni kipimo cha utu
 
1000350069.jpg
 
Jamaa anaonge friendly kabisaa😀😀😀aje Dar kula Eid😀😀
 
Hao ni wakiwa wametekwa au wapo kambini kwao jamaa kawatembelea
 
Back
Top Bottom