PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

View: https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos




Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
​

Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na Chama hicho, ambapo amewataka wanaoamini uwepo wa Mungu kuendelea kujiunga.

Ameyasema hayo wakati akisoma taarifa ya Chama leo Mei 21, 2025, ambapo katika taarifa hiyo imewataka Wanachama wa Chama hicho kujiandaa na uchaguzi, akidai kwamba hakuna timu inaweza kushinda mechi bila kupeleka timu uwanjani.

Sanjari na hilo katika hiyo taarifa amesema kuwa hakuna Chama chochote Duniani ambacho kimewai kufanikiwa kuzuia uchaguzi, ambapo amesisitiza kuwa watashiriki uchaguzi.
 
Tukp bize huku👇
 

Attachments

  • GridArt_20250521_105614980.jpg
    GridArt_20250521_105614980.jpg
    276.7 KB · Views: 31
Na wewe unatumika ku-promote hii biashara kichaa?
Ni kweli kabisa ukiangalia katika dunia hii, mtu mweusi bado yupo kwenye EVOLUTION, bado ubongo haujafikia kuwa wa mtu, wachache sana. Fikiria hawa wote wanajua kabisa hawawezi kufikia kokote kule kwa kuidhalilisha Chadema, ni kuiongezea taabu zaidi miaka mitano mingine, hadi 2030 wakati Rostam, Abdul na JK watajiongezea mali maradufu na wao watabaki hapo hapo kulia na kusaga meno kwa uchungu wa maisha yao na watoto wao. Mungu epusha.
 
Back
Top Bottom