TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
vichache hivi!Kushiba na Maendeleo.
Spunda atapata ubunge viti hata 15.
vichache hivi!Kushiba na Maendeleo.
Spunda atapata ubunge viti hata 15.
Mkuu- si ni tukio la kisiasa mkuu? Kuripotiwa kuna shida gani?Magu alikuja na project kama hii akifikiri anaiua CHADEMA, matokeo yake e kafa yeye kaicha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
acha wivu unaweza kuta wewe n wa kiume unafanya mambo ya keNa wewe unatumika ku-promote hii biashara kichaa?
wataheny asana mwaka huukuna wanasiasa wa mihemko wamejifungia vyumbani mwao wanatazama live huku wanabubujikwa machozi ya uchungu, dah!
walidhani ni mzaha 🐒
View: https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
View attachment 3340814
View attachment 3340815
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
ata wewe utakufa utaiacha ccmMagu alikuja na project kama hii akifikiri anaiua CHADEMA, matokeo yake kafa yeye kaicha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
🤣 🤣 🤣 hio chadema mbna chama cha kawaida ulishwahi kuiskia NCCR kipindi iko prime?Hamna jipya,mnachezea hela(kodi) zetu kwa kutengeneza ccm b ili kuwarubuni wtz kwa uchaguzi feki hamtafanikiwa kamwe.Mungu yupo na umma kipindi hichi.
Ulijuaje? Wewe mwanachama nini wa huo mradi?CHAUMMA haimo katika mradi wa LBTQ
Vibaraka wa wazungu ni wale wanaopokea fedha zao kama ufadhiri na misaada, je unataka kuachana na CCM!?Bora tule ubwabwa,tuachane na vibarka wa wazungu
na ccm ndio chama dola hata mileleMagu alikuja na project kama hii akifikiri anaiua CHADEMA, matokeo yake kafa yeye kaicha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Kwani ni kikao cha ngapi tangu chama kianze? Mwenyekiti kaandikiwa hata kusoma hawezi.Kukodi watu wa ubungo, mwanyamala na Sinza ukawavisha sure sio tatizo
Siasa za bongo, wanasiasa anawashirikisha watu wengi kumbe target yake ni yeye na familia yakeKwani ni kikao cha ngapi tangu chama kianze? Mwenyekiti kaandikiwa hata kusoma hawezi.