kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Wabaraka wa wazungu ni wale ambao watoto wao wapo Canada na BelgiumVibaraka wa wazungu ni wale wanaopokea fedha zao kama ufadhiri na misaada, je unataka kuachana na CCM!?
Wabaraka wa wazungu ni wale ambao watoto wao wapo Canada na BelgiumVibaraka wa wazungu ni wale wanaopokea fedha zao kama ufadhiri na misaada, je unataka kuachana na CCM!?
Umenena vema mkuu.Ni kweli kabisa ukiangalia katika dunia hii, mtu mweusi bado yupo kwenye EVOLUTION, bado ubongo haujafikia kuwa wa mtu, wachache sana. Fikiria hawa wote wanajua kabisa hawawezi kufikia kokote kule kwa kuidhalilisha Chadema, ni kuiongezea taabu zaidi miaka mitano mingine, hadi 2030 wakati Rostam, Abdul na JK watajiongezea mali maradufu na wao watabaki hapo hapo kulia na kusaga meno kwa uchungu wa maisha yao na watoto wao. Mungu epusha.
Mbembwe za muda tu wafadhili wao wakikwta mrija hiyo chopa na mikutano havitaonekana.Ni UPEPO tu, utapita
Hata aliyebuni project hii atakufa tena kifa kibaya sana huku akiiacha Chadema ikizidi kustawi.Magu alikuja na project kama hii akifikiri anaiua CHADEMA, matokeo yake kafa yeye kaicha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
View: https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
View attachment 3340814
View attachment 3340815
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na Chama hicho, ambapo amewataka wanaoamini uwepo wa Mungu kuendelea kujiunga.
Ameyasema hayo wakati akisoma taarifa ya Chama leo Mei 21, 2025, ambapo katika taarifa hiyo imewataka Wanachama wa Chama hicho kujiandaa na uchaguzi, akidai kwamba hakuna timu inaweza kushinda mechi bila kupeleka timu uwanjani.
Sanjari na hilo katika hiyo taarifa amesema kuwa hakuna Chama chochote Duniani ambacho kimewai kufanikiwa kuzuia uchaguzi, ambapo amesisitiza kuwa watashiriki uchaguzi.