mara ya kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  2. Gordian Anduru

    1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  3. fungi06

    Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
  4. BARD AI

    Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  5. V Chief

    Nilivyokula tunda kwa mara ya kwanza

    Wana JF shusheni visa vyenu kuhusu jinsi ulivyokula tunda kwa mara ya kwanza na ulifanyaje
  6. LIKUD

    Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate. Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja.. This is true of Haji in the USA, akifika...
  7. J

    Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
  8. Pascal Ndege

    Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  9. K

    Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

    Habari zenu watanzania bara wenzangu. Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena...
  10. Nyendo

    SI KWELI Mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima atoke damu

    Tangu zamani nasikia stori za mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza (kutolewa bikra kama wanavyoita) lazima atoke damu. Japo kumekuwa na baadhi ya wanawake wanasema hawakuwahi kutokwa damu, hii imekaaje? Je, ni kweli mwanamke akitolewa bikra lazima atoke damu? Na kama ndiyo hao wanaodai...
  11. F

    Shida ilivyonichochea kuwa mlafi wa kuisoma Biblia

    Shida haina adabu! Huo ni usemi ambao nilizoea kuusikia kwa wakubwa nilipokuwa mdogo. Lakini baada ya kuwa mtu mzima, nimebaini kuwa japo shida si nzuri, lakini wakati mwingine huweza kukusababisha kukutana na mambo mazuri. Miaka mingi imeshapita, lakini ningali nikikumbuka jinsi changamoto...
  12. Nyamuma iliyobaki

    Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  13. Analogia Malenga

    Kwa mara ya kwanza Dar, nashuhudia ukungu

    Aisee nimekumbuka nyumbani kwetu, hali ya ukungu ni kawaida. Leo ni mara yangu ya kwanza kushuhudia ukungu Dar yenu
  14. Teslarati

    Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla. Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena si nikakuta kulikua na shuhuli (wao wanaita hivo), anacheza kashika dela linaonesha pichu kabisa na...
  15. Lord denning

    Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

    Jirani anatapa tapa!! Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
  16. N

    Umuhimu wa upinzani bungeni waonekana kwa mara ya kwanza

    Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!! Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi...
  17. Teslarati

    Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  18. Pascal Mayalla

    Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania! Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
  20. kokudo

    Safarini NAIROBI kibiashara kwa Mara ya kwanza 🤔

    Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia Njia ni Sirari au Isibania MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
Back
Top Bottom