Salaam jamiiforum.
Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi.
Watu hawa baada ya kufahamiana au kujuana kwetu wapo ambao hugeuka kuwa watu wa karibu na kutengeneza bond ama urafiki fulani...