Moja ya vitu ninajivunia hapa duniani ni watu. Nina marafiki kadhaa ambao kwakweli tunarahisishiana maisha kwa kiasi kikubwa. Ni marafiki tuliojuana kwa miaka kadhaa na tunapigana tafu. Si urafiki wa kubembeleza au kutafuta. Ni urafiki uliopaliliwa na haiba zetu pamoja na mitazamo yetu...
Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu mtanisaidia, mimi ni mtu ambaye sina marafiki wale wa kusema tunapigiana simu weekend hii wapi etc! Sina...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.
ASANTENI
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba...
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.
Any age, and gender karibuni. Sina udini wala siasa! I’m open minded
.
Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.
Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo.
Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na urafiki;
1. Marafiki wasio na urafiki wanapanga njama dhidi yako usiku na kucheka nawe asubuhi...
“Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi Waafrika hatuwezi kufikiria.”
Maneno haya yamesemwa na balozi wa Rwanda nchini China James Kimonyo...
FBJP volunteers, led by Adapa Prasad, President of OFBJP-USA gathered at the iconic Times Square in New York City on Sunday.
On this bright sunny day, hundreds of supporters of Prime Minister Narendra Modi gathered here to demonstrate their solidarity, affirming their relationship with the...
Wanaume kiasili ni wasiri na wasiopenda kuwa na urafiki au vikundi kama ilivyo wanawake. Pia wanaume wengi huweka vitu moyoni na sio rahisi kufunguka yanayowasibu, wengi hawaonyeshi hisia aidha za furaha au huzuni yaani ni stoic.
Lakini kwa upande mwingine mwanadamu ni kiumbe social anahitaji...
P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z. Ambae yeye mwenyewe p diddy alisema duniani watu pekee ambao wana ruhusiwa kumuita Sean ni Jay z na mama...
Habari za humu, Mimi tokea nikiwa Mdogo nimejikuta tu nikiwa na marafiki walionizidi umri, ninaposema rafiki namaanisha marafiki wa kweli na ni wajinsia zote.
Nakumbuka Kuna kipindi mm nikiwa Bado sijaoa nililetewa kesi ya ndoa mume akiniambia matatizo na mke akiniambia matatizo ya mume...
Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi.
Habari JamiiForums
Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro.
Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua.
Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.