Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
Habari wadau.
Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia.
Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission.
Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul...
Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango.
Sasa mimi nilimwamini...
Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje.
Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k
Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
Nilianza kimzaa mzaa, nikaanza kujiunga kwenye magrupu ya wafanya biashara, wajasiriamali, wanaofanya fedha za kimtandao n.k kutoka huko duniani.
Nimekuwa namwaga nondo nzito, za kibiashara za kimataifa na namna ya kufanya uwekezaji wa hapa na pale popote duniani n.k
Nimejikuta napata marafiki...
Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.
Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni...
Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani.
Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo anaona heri mjuane mitandaoni kuepuka kero hii, lakini pia kuna wivu na chuki ya maendeleo inaweza...
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.
Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.
Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema...
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA.
Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana.
SIFA ZA WATU HAO
1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari.
2.Wakikaribia mazingira ya...
MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia.
Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu.
Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili.
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja.
Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
Kutumbuana kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu. Makonda kaenda pangani kakutana na mkurugenzi aliyewahi kukorofishana naye kisha amemwelekeza waziri atumbue uteuzi wake huku akijua kabisa wakurugenzi wanateuliwa na Mhe. Rais.
Sitashangaa Makonda kuwa na kiburi chukumwelekeza Mhe. Rais...
Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo.
Pichani anaonekana...
KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE?
Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
BIBI TITI MOHAMED NA BI. TATU BINT MZEE MARAFIKI WAWILI WALIOWEKA MSINGI WA WANAWAKE KUJIUNGA NA TANU
Historia ya wanawake kujiunga na TANU inaanza na safari ya Mwingereza John Hatch alipokuja Tanganyika kwa mwaliko wa TANU mwaka wa 1954.
Huyu alikuwa mbunge na mwanachama wa Labour Party...
Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia.
1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na...
https://youtu.be/JG0FZOO9OdE?si=Xt3nJH9GWXxKPUmM
https://youtu.be/rJWdfDPZ9Ck?si=HhcCRZ6t-0udTwrU
Marafiki ni watu wanafiki wengi wao wanakuja muda wa raha tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.