Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa.
Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana.
Nasikitika sana...
Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu.
Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka...
MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake.
Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia.
Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi.
Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni.
Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,,
MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
Huo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani, gharama za kusafirisha gunia moja mpaka godown gunia...
Mambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi
Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.
Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo...
Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati wa chuo/sekondari, biashara/kazini. Siku zinavyosonga na wanavyozidi kukukua kimaisha "cycle" ya...
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k
Sasa wakati nikiwa pale...
Nimegundua jambo hili dogo sana ila lina effects nyingi katika utafutaji mjini hasa Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza nachongesha kitanda Dar nilimpa tender classmate wangu wa primary, akanifanyia madudu.
Kitanda nilikipata baada ya miezi kama 5 hivi huku ameniwekea chaga feki. Mara ya pili...
Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako...
Mara ya kwanza nasikia kuhusu Forever Living ilikuwa mwaka 2005 kipindi hicho imepamba moto sana. Kulikuwa na mtoto mmoja mkali sana chuo nlikuwa namfukuzia.
Naye akaona atumie nafasi hiyo kuniunganisha Forever Living nikamkubalia ili kwanza nimle halafu tutajuana mbele kwa mbele, kweli...
Ni hivi, wewe una chumba chako umepanga ungependa uishi na rafiki au mwenyewe.
Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu.
Kipi bora, maisha ya kuishi mwenyewe au na rafiki?
Simple Friends and Real Friends
Anyone can stand by you when you are right,
but a Friend will stand by you even when you are wrong.
A simple friend identifies himself when he calls.
A real friend doesn't have to.
A simple friend opens a conversation
with a full news bulletin on his life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.