SHUKA NAYO HII NI NZURI KWA KUJIFUNZA👇🏿👇🏿👇🏿
Maisha ni duara, maisha yana kila aina ya Raha na karaha Zake. Hivyo ukipata Bahati ya kuwa umesoma sana na kuwa na kazi kubwa sana au na fedha nyingi kuna jambo moja muhimu sana hupaswi kulisahau. Jambo lenyewe ni kuwa na marafiki wa aina Zote...
Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa nilishawahi kujaribu kwa wadada wawili kwa vipindi tofauti lakini mwisho wake tulipoteza mapenzi na...
Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi.
Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu...
Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao.
Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
Amani iwe kwenu.
Ninapitia kipindi cha kuumia sana.
Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa hakusaidii kama alivyoahidi, ila unaona anaweka status tu WhatsApp huwa mnachukua hatua gani wakuu...
Club ni eneo la starehe linalokusanya watu mbalimbali kupata vinywaji na kuburudika na mziki, usiku kucha.
Watu mbalimbali; waajiriwa, wafanyabiashara n.k baada ya kupambana mchana kutwa, katika kujipatia kipato; hutumia muda wa jioni au usiku kwenda kuburudika na vinywaji au kucheza mziki...
nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu.
Yani...
Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google.
Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20.
Akifanya...
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa...
Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima.
Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza kushare ideas mbali mbali na michongo.
Sifa za marafiki ninao hitaji awe kwenye kada moja wapo kati ya...
Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake.
JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele...
Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi
Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii...
Natumai kazi zinaendelea!
Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki
Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
Siku ya Leo nitazungumzia juu ya madhara ya marafiki wabaya na kuwa nao katika maisha yako. Kwa kawaida katika maisha Kuna rafiki mzuri na rafiki mbaya ,sifa za rafiki mzuri ni kama kutunza Siri, uaminifu, uwazi, upendo na kutokuwa mnafiki.
Yafuatayo ni madhara ya marafiki wabaya ktk maisha...
Yeyote anayekunyima furaha, piga chini.
Maisha haya ni mafupi, haijalishi utaishi miaka 100 au 200; bado tutasema maisha ni mafupi tu, ikiwa na maana hapa duniani tunapita.
Hakuna haja ya kuwa na ndugu, marafiki, wachumba n.k wasiojielewa, ambao wanakupa msongo wa mawazo muda wote, na...
Kuna siku moja nilikuwa kwenye kijiwe cha draft hapa Dar, mzee mmoja alisema msaki (mmiliki wa kibo complex) anatuona Sie wote hapa hatuna akili, nilidhani wanaongea hivyo sababu wanamwonea wivu Ila baadaye nilikuja gundua maneno yao yana ukweli kwa kiasi flani, wala si wivu.
Yani utakuta...
Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri.
Mfano, hii ishu ya tozo January...
Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa.
Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake.
Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.