Habari, hopefully mko salama katika kila jambo jema, mimi pia.
Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana, uzoefu na kadha wa kadha. Mmi ni Mwanaume, muajiriwa na msomi level ya Shahada ya 1. Ninapenda Muziki, Kuogelea, Safari, upepo ktk fukwe, Mpira wa Miguu, Pete, Kusafari na vitu...