Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu.
Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...