Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha Balozi Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, Meja Jenerali Gaguti ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda.
Rais Samia, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari 2026, amesema: "Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti, nakusudia kukupa mamlaka ya nchi hii ili kuiwakilisha nje ya mipaka yake. Utakapokwenda huko, utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.