Balozi Meja Jenerali Marco Gaguti, apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha Balozi Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, Meja Jenerali Gaguti ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda.
photo_2026-06-11_19-17-12.jpg
 
Kila la kheri Afande Gaguti 🐒
 
Back
Top Bottom