marco elisha gaguti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Balozi Meja Jenerali Marco Gaguti, apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha Balozi Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, Meja Jenerali Gaguti ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mtu akikusema vibaya, Balozi unatakiwa kujibu kwa heshima, mimi siwezi wakinikera, nabwatuka tu!

    Rais Samia, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari 2026, amesema: "Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti, nakusudia kukupa mamlaka ya nchi hii ili kuiwakilisha nje ya mipaka yake. Utakapokwenda huko, utakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…