Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea.
Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii...
Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
Naomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake?
Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu waje wagombanie?, mfano mtu amezaliwa na kukua mjini, ndugu wa baba wapo sehemu mbali mbali, au...
Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje.
Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda...
Heshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
MAREHEMU COMPLEX
_________________
"Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
MAREHEMU COMPLEX
_________________
"Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
Inasemekana marehemu huwa haandikagi usia wa uongo maana anajua akishakufa habari yake imeisha na uongo hautamsaidia kitu
Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Tusubiri uchunguzi wa kitaalamu
Aliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.
"Hawa hawakuwa polisi."...
Mwili unaogombaniwa na familia mbili ambao ulizikwa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umefukuliwa leo kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya vina saba (DNA).
Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, (31)aliyefariki Juni 16,2024 na kuzikwa...
Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Mwaka jana rafiki yangu akiwa amepakiza familia yake kwenye gari binafsi alipata ajali ba kufariki hapohapo.
Kwa ufupi ni kwamba kuna lori lilifeli break likawa linakuja kasi upande wake yeye akidhani ni mbwembwe za dereva wa lori
Lori lilipomkaribia akatoa tusi ile anamalizia herufi o tu...
Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya!
Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,
Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu...
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale wanaochaguliwa kuwa na sifa zinazohitajika, wanakubalika, na hawana dosari zinazoweza kuathiri utendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.