marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  2. Lior

    Mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu

    MAMA mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti. Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita. Mkuu wa mashitaka Bi Kristina...
  3. ndege JOHN

    Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

    Kuna watu ni wavivu kufutaga contact za marehemu mpaka sasa wako nazo wengine tunasave majina kwenye Gmail ukiingiza kwenye simu mpya yana jirestore.Mimi nina marehemu Watano majina yao nimeamua tu niyaache. Imma, yuni, mamkubwa, elia na fundi Tandika.
  4. F

    Ugomvi mkubwa wa Mirathi. Familia ya Mandela yaanza kuuza mali za marehemu. Kweli Africa tunafanana Tabia

    Habari wadau. Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu. Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela. Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
  5. Replica

    Pre GE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli. Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
  6. Nsanzagee

    Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo? Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
  7. comte

    Mzee Machano: Nilikuwa nafungwa kila ikikaribia maadhimisho ya sikukuu ya Mapinduzi

    https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho sikuu za Mapinduzi zinapokaribia. Lambart: Tuambie hasa wewe ni nani tangu enzi zile za Afro Shiraz...
  8. Mhaya

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!! Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters...
  9. Teslarati

    Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

    Roman Catholic imekua comedy sasa. Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka. Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba...
  10. biabia

    Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

    Kumradhi kwa taarifa ya mwanzo niliyoleta kwenye uzi uliopita. Clemence alikuwa mmoja kati ya watu waliouawa kwenye uvamizi katika kibbutz Nahal Oz October 7 mwaka huu. Inavyoonekana ni kwamba watu wengi ambao ni raia wa Israel au raia wa nje bad hawajulikani walipo. Mfano mwanadada Shani...
  11. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  12. Canabian Rasta

    Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

    Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL. Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu...
  13. Moronight walker

    Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  14. Pang Fung Mi

    Hivi Mzee Kinana ameweka bayana tabia zipi za kuigwa za Marehemu Kamanda Mstaafu wa Polisi Zelothe Stephen?

    Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote. Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi. Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye...
  15. benzemah

    Rais Samia ahani msiba wa Marehemu SACP, Zelothe Stephen

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza la Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Kamishna Mstaafu Marehemu Zelothe Stephen Zelothe wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam tarehe...
  16. A

    Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

    - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
  17. GENTAMYCINE

    Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

    Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
  18. Hance Mtanashati

    Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  19. JanguKamaJangu

    Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
  20. W

    Ina maana gani kufuatwa na kivuli cha marehemu?

    Je, unapo ambiwa kivuli cha marehemu kina kufuata huwa inamaanisha nini?
Back
Top Bottom