Naomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake?
Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu waje wagombanie?, mfano mtu amezaliwa na kukua mjini, ndugu wa baba wapo sehemu mbali mbali, au...