Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana.
Mwanasheria anaonekana kama dalali tu.
Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria.
Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria.
Taifa lenye uchumi mkubwa na...
Wanaukumbi.
🚨🇺🇸🇿🇦 MAREKANI YAMFUKUZA BALOZI WA AFRIKA KUSINI KATIKA MGOGORO WA KIDIPLOMASIA
Waziri wa Mambo ya Nje Rubio amemfukuza rasmi balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, akimtaja kuwa "mwanasiasa mbabe" ambaye "anachukia Marekani na Rais Donald Trump."
Katibu Rubio...
Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani.
Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika Kusini, ni mtu anayeendekeza siasa za ubaguzi wa rangi, na anayemchukia Rais Trump, na kwamba...
Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani.
Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
Wadau hamjamboni nyote
Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Advertisement
Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans
Officials say approaches also made to...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani.
Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.
Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland.
Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na...
Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
Wanakumbi.
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil.
=======================
Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC...
Wakuu,
Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika katika operesheni nyingi za Marekani nchini Somalia katika miaka ya 1990.
Saa 4 zilizopita
Jeshi la...
Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua!
Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT
8 Mar, 2025 19:36...
Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa...
Mgeni rasmi Trump katika nchi ya mtume Muhamad s.a.w.
1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa Muislam." Muslim (rejea pia Bulugh al Maram uk 495,496
Katika mashariki ya kati kibaraka mkuu wa USA ni...
Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa wasiwasi kama uhusiano wao bado upo imara.
Na pia hali ya kumaliza vita ya Ukraine na Russia kwa...
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!)
China imposes retaliatory tariffs on...
Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo.
Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...