marekani

  1. Yoda

    Huko Marekani ni rahisi sana kuwatimua watumishi wa umma kazini!

    Musk, DOGE yake na Trump wanatimua kazi wafanyakazi wa umma mpaka wanasahau wanapitiliza inabidi wawatafute kurudi kazini tena🤣!
  2. Lord denning

    Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda awekewa vikwazo na Marekani. Mungu wabariki wazungu, Mungu mbariki Trump!

    Wakati nchi za Afrika Mashariki zikiendelea kumpet pet Kagame, masaa machache yaliyopita Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza rasmi kuwawekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Afrika Mashariki wa Rwanda Generali James Kabarebe na Msemaji wa M23 Lawrence Kanyuka Kingston kutokana na vita...
  3. Crocodiletooth

    Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

    Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
  4. N'yadikwa

    Mambo 7 usiyoyajua kuhusu Viwanja vya Ndege vya Jeshi la Marekani vinavyoelea baharini " US Aircraft Carriers"

    Kama unayajua piga kimya. Kama huyajui haya hapa:- Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani: Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000 waajiriwa, wakiwemo marubani, wahandisi, wahudumu wa meli, wataalamu wa silaha na wahudumu wa matibabu...
  5. Yoda

    China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  6. Ritz

    Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

    Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
  7. X

    Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  8. Gordian Anduru

    Dejavu: Abraham Lincoln, Rais wa Marekani aliyeota kifo chake

    DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu kutabiri au kuhisi matukio yatakayotokea, jambo linalojulikana kama déjà vu au hata ndoto za utabiri...
  9. R

    Katika kila ndoa za wachezaji 100 wa basketball NBA Marekani, ndoa 87 zinavunjika baada ya wachezaji kustaafu,

    Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia pamba za bei, mkwanja upo wa kutosha, Ni ngumu kuambiwa NO wakitupa ndoano Lakini kuna mchezo mchafu...
  10. Mwislam by choice

    Marekani mfadhiri mkuu wa ugaidi duniani

    Mzungumzaji Mbali na usafirishaji wa pesa taslimu kila wiki hadi kila siku 10 wa dola milioni 40 hadi 80. Afghanistan inatawaliwa na watu wanaoitwa Sara Yudin-Hakani. Mtandao wa Hakani unamaanisha chochote kwa mtu yeyote humu ndani? Vipi kuhusu Abdulla bin Laden? Nani anapata sehemu ya pesa...
  11. M

    Trump kasema Balozi zote za Marekani zipunguze Wafanyakazi

    MAKING AMERICA GREAT AGAIN. Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke. Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha wale wa marekani na waliojiriwa...
  12. Yoda

    Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

    Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya madai yana mashiko?
  13. GENTAMYCINE

    Huu uhuru anaopewa Bilionea Elon Musk na Rais Trump unatokana na nini? Mbona ni kama vile Musk ndiyo Rais wa Marekani?

    Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
  14. X

    Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

    Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema: "Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga." – Henry Kissinger Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si...
  15. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Wabunge waiomba Serikali kuwatumia watumishi walisimamishwa kazi USAID

    Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID). Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili...
  16. D

    Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

    Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu. Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani. Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
  17. Waufukweni

    Zifahamu Nchi za Afrika zinazopokea misaada mikubwa zaidi kutoka Marekani

    Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani: 1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
  18. Eli Cohen

    Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

    Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani. Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha...
  19. Father of All

    Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

    Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu. Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Je, Marekani kuanza kusitisha baadhi ya misaada kutaathiri Demokrasia katika nchi za ulimwengu wa tatu ikiwepo Tanzania?

    Mpo salama wote! Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika. Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
Back
Top Bottom