marekani

  1. I

    Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  2. hamis77

    Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

    Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi Wakristo wana hofu wakisikia hivyo Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani...
  3. T

    JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki kwa kuwa katika Mazoezi hayo kutakuwa na ongezeko la matumizi ya Ndege Vita na Meli Vita. Taarifa ya...
  4. Mkalukungone mwamba

    Elon Musk ataka Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Sauti ya Amerika (VOA) zifungwe akidai hazina umuhimu tena

    Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena. Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye...
  5. M

    Havard graduate wanalalamika kukosa ajira. Soko la ajira gumu mpaka marekani. Hali inatisha

    Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani. Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
  6. Yoda

    Wazungu wa Afrika Kusini wakata kata kata ofa ya Trump ya ukimbizi Marekani.

    Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya Africa Kusini, wazungu wenyewe wa huko wamepuuzilia mbali hatua hizo wakipaza sauti kila kona kwamba...
  7. Webabu

    Majimbo 19 ya Marekani yamshtaki Trump kumpatia Ellon Musk nyara za serikali

    Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani. iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani...
  8. Yoda

    Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  9. Jackal

    Trump Amuondolea Joe Biden Haki Ya Kupatiwa" Taarifa Za Siri/Classified Informations "Kama Ilivyotakiwa Kwa Maraisi Waliotangulia Wa Marekani

    President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks. Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
  10. The Watchman

    Trump atia saini amri ya kujiondoa kwa Marekani kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa Amri hiyo ilitangaza...
  11. Ndebile

    Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  12. Stunnaman008

    Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  13. S

    Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  14. Lycaon pictus

    Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  15. Rorscharch

    Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  16. Ritz

    China yamjibu Trump inatoza ushuru wa 15% kwa Makaa ya mawe ya Marekani na Natural gas na bidhaa zingine

    Wanaukumbi. Hong Kong CNN — Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on Chinese imports. The fresh duties, announced by China’s Ministry of Finance, levy a 15% tax on certain...
  17. R

    Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

    Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3...
  18. kwisha

    Canada wamekataa unyonge mbele ya marekani

    Canada imechukua hatua ya kujitenga na Marekani baada ya Rais Donald Trump kuwekea ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka china .Viongozi wa Canada, wakiongozwa na Waziri Mkuu Justin Trudeau, wameamua kuachana na Marekani kabisa. Mark Carney...
  19. Waufukweni

    Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  20. Mi mi

    Sasa ni zamu ya Ulaya baada ya Canada, Mexioco na China

    Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump. https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
Back
Top Bottom