Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi
Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats!
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=>...
Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
Serikali ya Iran imekanusha madai ya Idara za Usalama za Marekani kuwa nchi hiyo ilihusika na jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani na Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump ambaye alinusurika katika shambulio la risasi iliyomjeruhi Sikio Julai 13, 2024.
Inaelezwa kuhusishwa kwa Iran...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu.
Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa programu za kampuni hiyo.
Kaspersky ambayo imefanya kazi Marekani kwa zaidi ya Miaka 20, imesema...
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.