Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu!
Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki sana na hata hapo nyuma Kuna Uzi niliuweka hapa unaohusu maisha ya Ughaibuni nilimzungumzia!
Baada...
Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma.
Mradi huo utajengwa katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe, huku uzalishaji wa chuma wa majumbani...
Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
Trump na Kamala Harris wanatofautiana kuhusu Siku ya Mdahalo wa Urais. Timu ya Kamala inataka Septemba 10 katika Studio za ABC, huku Timu ya Trump ikitaka ufanyike Septemba 4 katika Studio za Fox
Tangu Biden ajiengue, Trump amekuwa hana msimamo kuhusu iwapo atashiriki mdahalo huo ambapo awali...
Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel.
Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari zaidi vya Kijeshi. Hata yanafuatia tishio la Ayatollah Khamenei anayejipanga kuishushia Kitu kizito...
Ukweli ni kwamba. hakuna watu waoga kuingia vitani kama wamerakani hasa wakigundua una sila za hatari yaani zile zinazoitwa silaha za maangamizi. Hivyo, ili Iran ilinde heshima yake na ili Israeli ikome kutegemea ubabe wa Marekani, ni shariti ifanye maamuzi magumu sana ya kutumia silaha kali...
Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo.
Irani kuchangamkia vita kwa sasa dhidi ya Israel, ni Isarel baada ya kumuua Gaidi na kiongozi wa makundi ya...
Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa...
Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran
⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel
Starting tomorrow, United Airlines and Delta Airlines will be cancelling all flights to Israel - ynet
Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA,
Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo,
Nipo serious,
Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi,
Umri wangu...
Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo November.
Sita kati ya majimbo hayo-Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania na Wisconsin -...
Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano.
Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!
Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald...
Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama?
Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.