marekani

  1. Mindyou

    Hawa ndo Marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani. Donald Trump yupo kwenye top 3

    Wakuu habarini za muda huu, Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776. Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi...
  2. P

    Salamu Kutoka Marekani: Nimeuliza kitabu/filamu inayoweza kumfanya mtu aijue Tanzania

    Well! Well! Well! Well!, Mshamba kutoka Tanzania mikoa ya ndani ndani anayewakilisha taifa huku kwa Biden Marekani, nilipata kukutana na washika dau kadhaa. Mimi nimekuja kishamba zaidi ili kuonesha natokea wapi. Basi huwa naeleza kwa kujiamini tu kwamba mimi ni Mtanzania. Nawapiga mikwara na...
  3. ward41

    Rais wa Marekani anapatikana kwa kura za wananchi, sio deep state

    Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli. Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa kura za Wananchi. Ndiyo maana wagombea wanafanya campaign ili wapigiwe kura Utofauti na huku kwetu ni...
  4. G

    Watanzania wasiovuka futi 6 chezeni basket kujifurahisha, Nimekutana na vijana wenye 5'6 - 5'8 wanapeana matumaini kucheza NBA nimesikitika

    pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208 Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya baketball nikawa nawasikia vijana wanapeana moyo wa kucheza nba, vimo vyao hakuna hata moja aliefika futi...
  5. Webabu

    Houth wadai kuidondosha ndege nyengine ya Marekani

    Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen. Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado hazijathibitishwa na Marekani.Hata hivyo jeshi la Marekani mapema leo limeendelea kuishambulia Yemen kwa...
  6. P

    Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

    Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets. Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
  7. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimeinjoi disco la kimya kimya

    Hili suala la mimi kuwa Marekani mvumilie tu. Nimetoka mbali kama nilivyoeleza uzi uliotangulia. Basi bwana leo mzee wenu nikaambiwa kuna disco la kimyakimya sehemu(Silent disco). Nikasema ngoja nikaone linakuwaje. Nikaenda mzee wenu, kweli kufika pale naambiwa nijisajili kisha nikapewa...
  8. P

    Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani. Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
  9. comrade_kipepe

    Wamachinga kumbe hadi Marekani

    Halafu ukiangalia wote watu weusi, au ndio maana trump anawekaga Sheria Kali anasema US kunaingia watu kiholela. Unaweza ukasema Kariakoo
  10. Akotia

    Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
  11. Mindyou

    Marekani: Mtoto wa miaka 14 avamia shule, aua kikatili wanafunzi wenzake na walimu

    Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School. Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili...
  12. Lady Whistledown

    Vijana Wa Nigeria wafungwa Marekani kwa Uhalifu wa Mitandaoni

    Ndugu hao walimdanganya Jordan kwa kujifanya Msichana wa umri wake kupitia Instagram na kumshawishi atume picha za faragha. Baada ya kupata picha hizo, walimtishia kuzisambaza ikiwa asingewalipa Mamia ya Dola za Marekani. Imeelezwa Jordan aliwalipa hadi alipoishiwa kabisa ambapo aliwaahidi...
  13. Roving Journalist

    Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  14. P

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani...
  15. P

    Umuhimu wa kuoa Marekani ni zaidi ya kutaka kufuliwa

    Tanzania mke anaonekana ndio mfuaji. Ila huku kufua ni jambo la kimashine zaidi. Na hata kama hamna mashine ya kufulia nyumbani viko vitu vya kufulia kwa gharama nafuu na hakuna maseke. Mfano hizo ni mashine za kufulia na hakuna mtu hapo, unaweka hela unaweka nguo unafua ukimaliza kuna mashine...
  16. P

    Msijizuie kuja Marekani, maisha mepesi tu

    Wala siwezi kuwa kama wengine wanaowatisha watu kuwa huku maisha magumu. Mgumu ni wewe. Vitisho mnavyosikia kuwa maisha ya Marekani ni magumu, ni sawa na vitisho vya watu wa Dar kwa watu wa mkoani kuwa Dar maisha magumu. Ila kiukweli ukienda Dar ukiwa na mishe za kufanya, mambo ni mepesi tu...
  17. Webabu

    Israel yatakiwa kujihadhari na kilichoipata Marekani nchini Afghanistan

    Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20. Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo...
  18. Wakusoma 12

    Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

    Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
  19. W

    Marekani kutoa Chanjo 10,000 za MPox Nchini Nigeria

    Marekani imetoa dozi 10,000 za chanjo ya MPox kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ikiwa ni kundi la kwanza la chanjo hiyo kufikishwa baada ya visa 40 vya kuripotiwa nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya USAID Serikali ya Nigeria imeamua kuyapa kipaumbele majimbo matano...
  20. green rajab

    Ndege ya Kivita ya Marekani imeangushwa huko Syria Pilot kutokome kusiko julikana

    Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army. BREAKING: According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria...
Back
Top Bottom