marekani

  1. Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

    Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine. Aisei Marekani wavune tu walichokipanda kwa kuruhusu haya mazombi yahamie huko na kuanza kuzaliana. Mimi kwa kweli hata...
  2. F

    Marekani yajisifu kuwapiga wahouthi wa yemen

    Ama wamarekani kwa sasa wameishiwa akili,eti leo wanajisifu kuwapiga maouthi wa yemen,yaani nchi inawapiga ngo????
  3. WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

    Habari wakuu! Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China. Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi...
  4. Tanzania inazidi kudidimia katika soko la Viwanda vya Uzalishaji, China, Ulaya & Marekani wakigombea umwinyi wa Afrika

    Zamani tulishuhudia Afrika ikiwa kwenye Makwapa ya mataifa ya Ulaya na Amerika Leo China imeongeza kwapa lake . Tanzania na Afrika imejisalimisha Rasmi na imekubali nguvu zake za uchumi ikabidhi kwa Wachina, YeboYebo na makobazi yanayouzwa kama njugu barabarani hayatengenezwi Dar es Salaam...
  5. X

    China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

    Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex) Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China walionyesha toleo jipya na la pili la 5th generation fighter jet J-35 ambayo imekuja kuichallange...
  6. D

    TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

    Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed. The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in October. The Carter Center, which advocates for democracy and human rights around the world, said he...
  7. Faida za Marekani katika dunia yetu

    Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia Mimi nitaanza hapaa 1. Internet kagundua...
  8. S

    Askari wa Marekani waliorudi nchini kwao baada ya kushiriki vita nchini Iraq na Afghanistan wanajiua kwa viwango vya juu

    Ripoti zinasema, tangu uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq uliotokea baada ya Shambulio la September 11: 1. Zaidi ya askari 30,000 walioshiriki uvamizi huo wamejiua. Hii ni mara nne zaidi ya askari waliokufa vitani/ kwenye mapigano. 2. Mwaka 2019 pekee askari 6261 walijiua ikiwa ni...
  9. B

    Wanafunzi mlioko Marekani rudini kabla ya Trump kuapishwa.

    Wasiwasi umetanda katika baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Marekani huku vingine vikitoa tahadhari kwa Wanafunzi wa Kimataifa kurudi vyuoni kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Donald Trump. Kwa mujibu wa Shirika la habari la CNN, Vyuo hivyo vina wasiwasi wa kuwepo kwa marufuku ya safari...
  10. M

    Kuipita Marekani kwa utajiri ni ndoto ya kila taifa kubwa ila ki uhalisia ni kazi ngumu sana

    Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20. Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060 Hiyo ni alinacha kama...
  11. Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

    Habarini, International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya. Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit...
  12. Je ni sahihi kwa taifa 'takatifu' kuongozwa na kulindwa na Marekani taifa chafu kuliko yote?

    Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani. Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
  13. Ndege ya kivita ya Marekani yadunguliwa kwenye Bahari Nyekundu

    Ndege ya kivita ya Marekani imedunguliwa katika Bahari Nyekundu kwenye tukio linaloonekana kuwa "ufyatuaji wa silaha uliotokea upande wao", jeshi la Marekani limesema. Wafanyakazi wote wa Jeshi la Wanamaji la Marekani F/A-18 Hornet walitolewa nje wakiwa salama, huku mmoja akiuguza majeraha...
  14. S

    Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  15. S

    Je wajua? Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi hadi mwaka 2008

    Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi hatari zaidi ya ugaidi duniani. Sasa jiulize je "gaidi ni nani"? Source: "Why Nelson Mandela Was on...
  16. S

    Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi hadi mwaka 2008

    Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi hatari zaidi ya ugaidi duniani. Sasa jiulize je "gaidi ni nani"? Source: "Why Nelson Mandela Was on...
  17. S

    Marekani yaziwekea tena vikwazo Kampuni zilizohusika kujenga Bomba la gesi la NordsStream 2

    Marekani imetangaza vikwazo kwa kampuni mbalimbali zilizohusika kwenye ujenzi wa bomba la gesi la Nordstream 2 lililokuwa likisafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya magharibi kabla ya kulipuliwa mwaka 2022. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuziwekea vikwazo kampuni zilizohusika kujenga bomba...
  18. Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  19. L

    Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  20. L

    Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…