marekani

  1. MAKA Jr

    NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  2. MAKA Jr

    Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  3. F

    Mnaofurahia kuporomoka kwa Dolla ya Marekani hamjui mchezo wa thamani ya fedha na ni nani anayechezesha mchezo huo.

    Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa huyo yupo kwenye control ya haya mambo. Si mwingie ni Mmarekani mwenyewe! Kuna wakati nchi inaamua...
  4. Webabu

    Marekani inahaha kutaka Syria isitawalike.Nawashauri wanasyria waachane na mfumo wa vyama vingi.Wajitungie mfumo wao kuepusha kurudia kwenye machafuko

    Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia akitua kila nchi kushauri utawala mpya wa Syria uwe wa kuunganisha makabila na vyama vyote. Ushauri...
  5. Kinyayo

    ELON MUSK TRILIONEA AJAE MAREKANI US 🇺🇸

    wana JF hongereni kwa kusimamia ndoto zenu! Dg zangu. Wachambuzi wa matajiri wa marekani, wamemtabiri bilionea ELON MUSK aka GAME CHANGER mmiliki wa Tesla,space X Star link na n.K, atakuwa ndiye tajiri wa kwanza kwa bara hilo lenye idadi kubwa ya mabilionea wenye ukwasi wa kutisha...
  6. E

    Aliyemuua Mkurugenzi wa Bima Marekani akamatwa, agoma kurudishwa alikokimbia

    Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia. Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia. Wakimlazimisha kumzoa kwa...
  7. Orketeemi

    Nataka nichukue mkopo bank ninunue Dola ya marekani

    Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola. Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375 Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko. Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
  8. Sir John Roberts

    Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  9. U

    Ayatollah Khamenei: Tuna ushahidi kuwa Marekani, Israel na Uturuki walihusika katika kumuondoa Assad madarakani

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria...
  10. G

    Kwa mara nyingine Trump akataa kulipwa mshahara wa Urais, Ataugawa kwa wenye uhitaji

    Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
  11. Yoda

    Dhana ya "plea bargaining" itoe mwanga Marekani inaweza kufanya nini kuhusu waasi magaidi wa Syria

    Kwenye mifumo mingi ya sheria ya Magharibi kuna kitu kinaitwa "Plea Bargaining" . Kwenye huu mfumo ni kwamba muendesha mashitaka anatengeneza dili kwa mshitakiwa kushirikiana naye kumpa taarifa muhimu kwa ajili ya kufanikisha lengo kubwa zaidi kwa faida ya mshitakiwa kupungiziwa adhabu...
  12. Allen Kilewella

    Waliosaidia Assad apinduliwe ni Russia ama Marekani?

    Kuna watu huwa wanawaona waarabu kama hawana akili za kujitegemea. Sasa Bashir Assad kaondolewa madarakani. Jee kaondolewa na Wasiria peke yao ama hao Wasiria wamesaidiwa na Marekani au Russia? Kama Russia kwa maslahi gani na kama pia na Marekani, pia ni Kwa maslahi gani?
  13. B

    Nini hatima ya Syria wakati kamanda mkuu wa mapinduzi na viongozi wenzake wanatambulika na Marekani kama magaidi

    % kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk. Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake...
  14. JanguKamaJangu

    Chuo Kikuu Marekani chawatuza watano Tanzania

    MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Tukio hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko kwenye Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam...
  15. Mi mi

    Je, msimamo wa Marekani utaendelea kuwa ule ule au utabadilika dhidi ya magaidi hawa?

    HTS wametwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki. Huu ndio uliokuwa msimamo wa marekani. Je, utaendelea kuwa ule ule au utabadilika ?
  16. Yoda

    Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  17. Waufukweni

    TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe

    Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani. Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
  18. Waufukweni

    Marekani inatuhumiwa kutuma ndege za kijasusi katika maeneo yenye utajiri wa mafuta nchini DRC na Uganda

    Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha miundombinu ya uzalishaji wa mafuta katika maeneo ya Ziwa Albert, magharibi mwa Uganda. Tukio hilo...
  19. Sir John Roberts

    China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

    Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan. == China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi za Marekani pamoja na maafisa wa sekta ya ulinzi wa Marekani Alhamisi hii (Disemba 5), ikiwa ni...
  20. N

    Mambo ambayo nchi ya Marekani imezidiwa kwa mbali na nchi ya Tanzania

    Ingiwa nchi ya Marekani ina maendeleo makubwa ya kiteknolojia na kiuchumi, yapo mambo kadhaa ambayo Tanzania tumewaacha mbali mno. 1. Rasilimali za asili na utalii wa kiikolojia Tanzania kuna hifadhi maarufu kama Serengeti, Ngorongoro crater, na Mlima Kilimanjaro, ambazo ni kivutio kikubwa...
Back
Top Bottom